Tujikumbushe: Mawaziri wa Shujaa Magufuli kutoka Chadema; Waitara, Gekui, Silinde, Katambi na Dr Mollel!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,997
142,016
Hawa ndio Wabunge wa Chadema waliounga mkono Juhudi na kuhamia CCM na Ubunge wao tayari kuwa Manaibu Waziri

Rais Samia bila hiyana na kwa Upendo aliamua kuendelea nao

Sema wameanza kumuangusha na Yeye hana namna zaidi ya kuwapumzisha

Waitara...... OUT

Gekui.......... OUT

Who next?

Mlale Unono 😀😀🔥
 
Back
Top Bottom