Mbunge wa Arusha, Mjini Mrisho Gambo atoa gari la kusafirishia maiti Jimboni kwake

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,662
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo ametoa msaada wa gari la kusafirisha mwili wa marehemu kwa wanajimbo wake.

Hata hivyo, wana Arusha wameuponda msaada huo huku wakihoji kwa nini asipeleke madawa au magari ya Ambulance, na baadhi wametafsiri kwamba huo ni uchuro.

Mmoja ya wachangiaji katika ukurasa wake, ameomba Mbunge huyo pia atoe msaada wa sanda kwa wana.
 
Screenshot_20230705-062957_Facebook.jpg
 
Binadamu hawana shukrani tenda wema nenda zako. Wao mbona hawakununua sasa hilo gari kama walikua na uwezo?
 
Back
Top Bottom