Baba Askofu Mwamakula awasha moto kwenye Kongamano la miaka mitatu ya Maalim Seif

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,733
218,316
Akizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi wala tatizo kwa viongozi wa kidini kutoa waraka wa kukosoa matendo maovu ya serikali, amedai hana kumbukumbu kuhusu enzi za Mwl. Nyerere, bali aliheshimu sana viongozi wa dini.

Askofu Emmaus Mwamakula amesema kwamba; si kwamba kwenye tawala hizo hakukuwa na matamko au waraka wa viongozi wa dini, bali viongozi wa wakati ule walitumia matamko hayo na kuyafanyia kazi badala ya kuwakamata, kuwavua Uraia ama hata kuwafunga viongozi wa dini.

Toa maoni yako.
 
Akizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi wala tatizo kwa viongozi wa kidini kutoa waraka wa kukosoa matendo maovu ya serikali, amedai hana kumbukumbu kuhusu enzi za Mwl. Nyerere, bali aliheshimu sana viongozi wa dini .

Sheikh Mbukuzi na mauaji ya mwembechai yalifanyika utawala gani? Sio wa Ben? Huyu askofu nilikuwa namuheshimu sana lkn sasa nishamuona sawa na wale
 
Akizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi wala tatizo kwa viongozi wa kidini kutoa waraka wa kukosoa matendo maovu ya serikali, amedai hana kumbukumbu kuhusu enzi za Mwl. Nyerere, bali aliheshimu sana viongozi wa dini .

Askofu Emmaus Mwamakula amesema kwamba; si kwamba kwenye tawala hizo hakukuwa na matamko au waraka wa viongozi wa dini, bali viongozi wa wakati ule walitumia matamko hayo na kuyafanyia kazi badala ya kuwakamata, kuwavua Uraia ama hata kuwafunga viongozi wa dini.

Toa maoni yako.
Rais wa mwisho alikuwa mkapa japo naye aliiba, hawa waliofuatua hakuna mwenye sifa za urais na mazingira tu yaliwafanya wawe marais
 
Bado naona kuna tatizo kubwa la udini, ukabila, ukanda na migawanyiko itokanayo na mirengo ya kisiasa hapa Tz. Badala ya kuhangaikia maendeleo mtambuka ya nchi yetu sisi tumeng'ang'ana na mambo ya kishenzi yasiyokuwa na maana yoyote ktk nchi, hovyo kabisa.
 
Hakuna maendeleo bila haki
 
Malaria kwani Mauaji ya Mwembechai yalitokana na Waraka ?
Waraka na maoni au msimamo, ule ulikuwa waraka, na Ben Mkapa aliuwa watubtena msikitini, na hatukusikia waraka ukitoka Bakwata, Makanisani na wala baadhi ya vyama vya upinzani. Mwamaluka ameghafilika
 
Back
Top Bottom