Kwanza awali nilidhani Naibu Waziri alikuwa akisingiziwa lakini baada ya kuona utenguzi huu nikaamini kweli amefanya huo ukatiri.
Sina shaka kwa sasa kuwa ni kweli Kiongozi huyo alihusika kwa sababu Rais anafanyia kazi "evidence based informations" hasahasa kwa viongozi wa upande wake wa serikali na chama.
Kwa kuwa imedhihirika hivyo na ikaonekana hafai kuendelea kukalia kiti cha naibu waziri, Je.. anafaa kuendelea kuwa Mbunge? Anafaa kuendelea kuwa mwanachama wa chama chake?
Majibu yangu kwa maswali hayo ni kuwa hafai kabisa kabisa.. kwa sababu tuhuma hizi ni nzito, na ili vyombo vyetu vya maamuzi visije kupigiwa simu moja vikabadili maamuzi sahihi ni bora Pauline afikishwe mahakamani akiwa raia wa kawaida.
Nawasilisha.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app