Tunaposema huyu mtu hafai tueleweni jamani

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Kama kuna kosa amewahi kufanya Rais Samia na linaweza kuja kumgharimu Big time ni kumuamini huyu nyoka aliyekuwa kiongozi wa kundi la watu fulani waliokuwa wakitumika kwa mlengo wa kikundi fulani( Jina linafahamika)

Mengi yalisemwa kunusu huyu mtu ila kuu ni kuwa huyu mtu ni muumini mtiifu sana wa lile kundi ambalo bado linaamini lenyewe ndo lenye hatma ya Tanzania na linataka kuongoza Tanzania kwa maslahi yako na wala sio maslahi ya Tanzania

Ukiangalia tangu alivyopewa nafasi ya kisiasa chamani anachofanya ni kujibrand mwenyewe na wala sio chama wala kiongozi wa chama kama alivyotegemea

Matangazo mengi anayoyatoa, picha anazopiga kwa mtu mwenye akili unayelielewa lile kundi unagundua kabisa ni za kujijenga yeye kwa maslahi ya lile kundi lake.

Maneno anayotamka ni kama kuwaamsha wafuasi wa lile kundi ambalo kwa kiasi kikubwa walikuwa wanalijenga kundi lao na sio utengamano wa Taifa kwa maslahi ya Taifa.

Wengi tulisema na sasa tunasema tena. Rais wetu Samia, nyoka ni nyoka, kamwe akaribishwi chumbani..

Taasisi nyeti iliikoa nchi yetu kuingia kwenye siasa za Rwanda na Burundi kwa kumuondoa huyu mtu. Sasa umemrudisha. Kama hujashtuka utapata majibu soon!

FB_IMG_1700997075656.jpg
 
Sasa unapoficha jina lake lakini unabandika picha yake, maana yake nini hasa? Ni uoga au unafiki fulani?

Kwani ungemsema straight kwa jina lake kuwa ni Paul Christian Makonda a.k.a Albert Bashite ungepoteza au kupungukiwa na nini eti?

Kila mtu mfuatiliaji wa siasa za Bongo hii hususani katika kipindi kile cha giza (2015 - 2021) cha Rais hayati John P. Magufuli anajua kuwa Paul Makonda alikuwa ndiye kiongozi wa kikosi cha kuteka, kuumiza kwa mateso na kuua eti ili kulinda au kuuhami utawala wa serikali uliokuwa chini ya CCM na Rais Hayati John P. Magufuli?

Swali kubwa ni Je, aliweza? Obvious jibu ni BIG NO. Alishindwa big time.

Ni ajabu kuwa Rais Samia na CCM yake ya leo nayo imeshindwa kushawishi wananchi waikubali badala yake mme - opt njia na mbinu zile zile za Jiwe ktk kuuhami utawala wao tena kwa kuamua kumtumia mtu yuleyule (Makonda) aliyeleta uharibifu na taswira mbaya ya nchi ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Hii maana yake ni kuwa, CCM inatuma ujumbe kwa umma kuwa haina watu wenye akili na maarifa ya kukitetea badala yake Makonda tu ndiye anayefaa miongoni mwa mamia ya wanaCCM..

Poleni sana na tunawaombea kifo cha kisiasa kiwazukie kama mwewe anyakuaye kifaranga mpotee msionekane tena ktk dunia hii
 
Kama kuna kosa amewahi kufanya Rais Samia na linaweza kuja kumgharimu Big time ni kumuamini huyu nyoka aliyekuwa kiongozi wa kundi la watu fulani waliokuwa wakitumika kwa mlengo wa kikundi fulani( Jina linafahamika)

Mengi yalisemwa kunusu huyu mtu ila kuu ni kuwa huyu mtu ni muumini mtiifu sana wa lile kundi ambalo bado linaamini lenyewe ndo lenye hatma ya Tanzania na linataka kuongoza Tanzania kwa maslahi yako na wala sio maslahi ya Tanzania

Ukiangalia tangu alivyopewa nafasi ya kisiasa chamani anachofanya ni kujibrand mwenyewe na wala sio chama wala kiongozi wa chama kama alivyotegemea

Matangazo mengi anayoyatoa, picha anazopiga kwa mtu mwenye akili unayelielewa lile kundi unagundua kabisa ni za kujijenga yeye kwa maslahi ya lile kundi lake.

Maneno anayotamka ni kama kuwaamsha wafuasi wa lile kundi ambalo kwa kiasi kikubwa walikuwa wanalijenga kundi lao na sio utengamano wa Taifa kwa maslahi ya Taifa.

Wengi tulisema na sasa tunasema tena. Rais wetu Samia, nyoka ni nyoka, kamwe akaribishwi chumbani..

Taasisi nyeti iliikoa nchi yetu kuingia kwenye siasa za Rwanda na Burundi kwa kumuondoa huyu mtu. Sasa umemrudisha. Kama hujashtuka utapata majibu soon!

View attachment 2825643
Umeona eh? CCM ni ile ile tabia zile zile za kijambazi unapojitahidi kuwaunga mkono kwa jambo fulani kaa chini ujitafakari na utafakari usalama wa maisha yako na taifa kwa ujumla siku zijazo.
 
Kama Samia asipofungua masikio na macho yake sasa. Hatokuja kuelewa tena.

Kabendera alijitahidi sana kumuelewesha ila naona hajaelewa. Kwa yanayofanyika kama asipomuelewa Kabendera basi hatomuelewa tena
 
Makonda and his team are very smart. You win the majority by associating even through appearance with those they respect and admire.
Jana Dini
Leo Jeshi
Juzi Kaburi la Hayati JPM

"My grandfather was a brave man, he was only afraid of idiots.
I asked him why, and he answered; Because there are too many of them, and by being a majority they could even elect a president" - Facundo Cabral 😔
 
Kama kuna kosa amewahi kufanya Rais Samia na linaweza kuja kumgharimu Big time ni kumuamini huyu nyoka aliyekuwa kiongozi wa kundi la watu fulani waliokuwa wakitumika kwa mlengo wa kikundi fulani( Jina linafahamika)

Mengi yalisemwa kunusu huyu mtu ila kuu ni kuwa huyu mtu ni muumini mtiifu sana wa lile kundi ambalo bado linaamini lenyewe ndo lenye hatma ya Tanzania na linataka kuongoza Tanzania kwa maslahi yako na wala sio maslahi ya Tanzania

Ukiangalia tangu alivyopewa nafasi ya kisiasa chamani anachofanya ni kujibrand mwenyewe na wala sio chama wala kiongozi wa chama kama alivyotegemea

Matangazo mengi anayoyatoa, picha anazopiga kwa mtu mwenye akili unayelielewa lile kundi unagundua kabisa ni za kujijenga yeye kwa maslahi ya lile kundi lake.

Maneno anayotamka ni kama kuwaamsha wafuasi wa lile kundi ambalo kwa kiasi kikubwa walikuwa wanalijenga kundi lao na sio utengamano wa Taifa kwa maslahi ya Taifa.

Wengi tulisema na sasa tunasema tena. Rais wetu Samia, nyoka ni nyoka, kamwe akaribishwi chumbani..

Taasisi nyeti iliikoa nchi yetu kuingia kwenye siasa za Rwanda na Burundi kwa kumuondoa huyu mtu. Sasa umemrudisha. Kama hujashtuka utapata majibu soon!

View attachment 2825643
Umerudi kulialia. Ya Bandari umeyamaliza? Kama unataka afanye branding ya Samia, 1. hapo kwenye picha angemwekaje Samia?
2. Samia angetokeaje akiwa amepanda punda?
3. Samia angetokeaje akiwa amepanda farasi?
4. Samia angepandaje baiskeli?
Unataka avae sura ya Samia Suluhu Hassan?
Hakuna cha peke yako. Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Sasa unapoficha jina lake lakini unabandika picha yake, maana yake nini hasa? Ni uoga au unafiki fulani?

Kwani ungemsema straight kwa jina lake kuwa ni Paul Christian Makonda a.k.a Albert Bashite ungepoteza au kupungukiwa na nini eti?

Kila mtu mfuatiliaji wa siasa za Bongo hii hususani katika kipindi kile cha giza (2015 - 2021) cha Rais hayati John P. Magufuli anajua kuwa Paul Makonda alikuwa ndiye kiongozi wa kikosi cha kuteka, kuumiza kwa mateso na kuua eti ili kulinda au kuuhami utawala wa serikali uliokuwa chini ya CCM na Rais Hayati John P. Magufuli?

Swali kubwa ni Je, aliweza? Obvious jibu ni BIG NO. Alishindwa big time.

Ni ajabu kuwa Rais Samia na CCM yake ya leo nayo imeshindwa kushawishi wananchi waikubali badala yake mme - opt njia na mbinu zile zile za Jiwe ktk kuuhami utawala wao tena kwa kuamua kumtumia mtu yuleyule (Makonda) aliyeleta uharibifu na taswira mbaya ya nchi ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Hii maana yake ni kuwa, CCM inatuma ujumbe kwa umma kuwa haina watu wenye akili na maarifa ya kukitetea badala yake Makonda tu ndiye anayefaa miongoni mwa mamia ya wanaCCM..

Poleni sana na tunawaombea kifo cha kisiasa kiwazukie kama mwenye anyakuaye kifaranga!
Hao mnaowataka wamepewa nafasi lkn wameshindwa kumsaidia Rais ndani ya kipindi cha mwaka mmoja tu.
 
Back
Top Bottom