Ģ moningiiii
"Watanzania kila mtu anakwambia ukingiia kwenye system tu bhas muhimu kuingia" kila Mtanzania hasa maskini ndoto zao ni kufanya kazi serikalini si kwasababu ya ubora wa mwajili tu...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum mbona upo kimya sana kuhusu hili sakata la Naibu waziri wa katiba na sheria Pauline Gekul?
Dorothy Gwajima hujawahi kukaa kimya...
Katika dhambi iliyowahi kufanyika nchi hii ni kumteua Makamba na Maharage TANESCO
KWANZA NAANDIKA HUU UZI NIWEKE WAZI SINA CHUKI NA MAKAMBA WALA MAHARAGE ILA NITASEMA UKWELI TU BILA KUMUNG'UNYA...
Kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Maadili ya viongozi wa Umma Sura. No.398( R.E 2020) kifungu cha 25(1) kinachotoa fursa kwa mtu yeyote kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya kiongozi wa Umma juu...
Ifikie wakati tuache kuona kila anachofanya Raisi ni msaada kwetu na si majukumu yake.
Hizi sifa za uongo zimekuwa nyingi mpaka kuondosha mantiki ya uhalisia wa utendaji wake.
Alichosema...
Mwanasiasa Kijana , Mfungwa wa Kisiasa na Mateka wa awamu ya 6, Katibu mwenezi wa Bavicha, Twaha Mwaipaya, akizungumza kwenye Maadhimisho ya miaka miaka 3 tangu kufariki kwa Gwiji la siasa za...
Kuna nguvu kubwa inafanyika kuyafanya makosa ya aliyekuwa Naibu Waziri Sheria na Katiba kuwa ni udhalilishaji wakati kiukweli sivyo.
Makosa ya Gekul kisheria kwa Tanzania au nchi zingine ni...
Wengi wamekariri kuwa CCM hii ndio ile ile ya Baba wa Taifa Mwenyeheri Julius Nyerere, nawapa pole sana.
CCM ya sasa haina tofauti na Chadema, NCCR Mageuzi au ACT Wazalendo zaidi ya ile Dola...
Nianze kwa tafakuri Jadidi,je falsafa ya kujivua gamba maana yake ni kujiondoa mwenyewe au kuondolewa? turejee dhana ya CCM kujivua gamba iliyoasisiwa na ndugu Wilson Mukama,dhana hii ilikuwa na...
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) umetangaza kusikitishwa taarifa za tuhuma zinazomkabili Mbunge wa Babati Mjini, Mhe Pauline Gekul kuhusu kumfanyia ukatili kijana Hashimu Ally huko Babati Mjini...
Hapa najifanya msemaji wa Chama kwa kuwa nakipenda Chama changu, nakiamini na sina mpango wowote wa kukiacha, tunapoelekea miaka mingine mitano ya Samia, wapinzani wa ndani ya chama, mafisadi...
Na Elius Ndabila
0768239284
Habari wanajamii forumu. Ni muda sijaandika hapa Zaidi ya kusoma. Nilikuwa msomaji kidogo , kwa hiyo mkiona kuna makosa kwenye andiko basi mjue ni uzee.
Waziri Mkuu...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa Tanzania inakwenda kuwa kitovu cha Tiba Utalii kwa kutoa huduma za Afya kwa wagonjwa maalumu wa ndani na nje ya nje.
Waziri Ummy amesema hayo leo...
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza, John Wanga na baadhi ya watumishi wa halmashauri hiyo wanadaiwa kukiuka taratibu za fedha, kufanya ubadhirifu na...
=======
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amemuelekeza Katibu Tawala wa Mkoa huo kuwasimamisha kazi baadhi ya Watumishi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe akiwemo Katibu wa Afya, Watu...
Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika.
Yawezekana kweli walionewa, lakini...
DANIEL CHONGOLO APENDEKEZWA KUWA KATIBU MKUU CCM
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Ndg. Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Chama kimempitisha kwa kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.