Imetosha; Utapeli wa Maganga ndani ya CWT unatisha, achukuliwe hatua

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
Wanachama wa Chama cha Walimu nchini tunashuhudia kwa macho yetu tabia ya kudhoofisha chama chetu inayofanywa na Bwana Maganga bila aibu. Hali hii inakasirisha na kuleta wasiwasi juu ya hatma ya walimu nchini ambao kimsingi ni wanachama wa CWT.

Mojawapo ya vitendo vinavyotia hasira sana ni kuuzia walimu T-shirt kwa bei ya juu na kuchukua Shilingi 7500 kwenye kila fulana inayouzwa kwa walimu. Hii ni tamaa iliyopindukia inayompa maumivu kila mwanachama isipokuwa Maganga mwenyewe na kundi lake. Yaani kila mwanachama wa CWT anaponunua T-shirt basi 7500 inaenda kwa Maganga moja kwa moja kupitia wakala wake!

Pia, Maganga amethibitisha kwa matendo yake mwenyewe kuwa hana uwezo wa kushughulikia shida za wanachama na kusimamia matakwa ya chama kikamilifu. Kutozingatia haya mahitaji na mawazo ya walimu kunaleta mgawanyiko na kudhoofisha umoja wa chama cha walimu, ambacho ni muhimu kwa ustawi wetu.

Ongezeko la makato ya ada ya uanachama bila ridhaa ya wanachama ni jambo lingine linalokera na kuleta sintofahamu ndani ya hiki chama chetu. Hii kimsingi ni kukiuka demokrasia na kuonyesha udhaifu katika mfumo unaolinda haki za walimu. Kifupi Mwalimu Maganga anatumia chama cha walimu kwaajili ya kujinufaisha yeye na tumbo lake.

Ukosefu wa uwazi katika mapato na matumizi ya fedha za chama ni suala lingine linaloumiza sana, Vilevile kuhusika kwa Bwana Maganga katika unyanyasaji wa kingono kwa watumishi wa makao makuu ni jambo lisilokubalika na linalotia doa sifa ya chama. Mwalimu mwenzetu ameota mapembe, shime achukuliwe hatua.

Kwa kuongezea, tuhuma za kujihusisha na ushirikina ni kitu kinachosemekana kumpa ujasiri wa kufanya uchafu wote anaoufanya bila uoga. Mimi kama Mwalimu siuogopi uchawi wako Bwana Maganga na unapaswa kujua walimu tumepoteza imani na uongozi wako wa kitapeli na ni muda muafaka uondoke wewe na genge lako ndani ya CWT.
IMG-20231127-WA0003.jpg
IMG-20231127-WA0002.jpg
IMG-20231127-WA0004.jpg
 
Attachments

  • IMG-20231127-WA0002.jpg
    IMG-20231127-WA0002.jpg
    98.7 KB · Views: 3
Na Mwalimu Udadis, Tarime

Kwani Si uhame maana nasikia sahz mna CHAHAWABATA
 
Hao wote wana Ccm hivyo hayo yanayofanywa wananufaika wengi.

Hicho chama ni Saccos ya wakubwa, hivyo usitegemee maajabu yoyote
 
CWT yote imejaa viongozi wezi na wabadhirifu. Na miaka nenda wamekuwa wakilindwa na mzazi wao CCM.

Kwa hiyo msimbebeshe gunia la lawama huyo Maganga peke yake kwa hivyo vitendo.
 
Viongozi wa CWT wote ni wezi na wabadhirifu wa fedha za wanachama wao.

Hivyo kumnyooshea mtu mmoja pekee kidole cha huo ubadhirifu, ni dalili tosha ya uwepo wa makundi yanayo gombania madaraka ndani ya hicho chama kwa lengo tu la kuendeleza upigaji. Nothing more.
 
Na Mwalimu Udadis, Tarime

Wanachama wa Chama cha Walimu nchini tunashuhudia kwa macho yetu tabia ya kudhoofisha chama chetu inayofanywa na Bwana Maganga bila aibu. Hali hii inakasirisha na kuleta wasiwasi juu ya hatma ya walimu nchini ambao kimsingi ni wanachama wa CWT.

Mojawapo ya vitendo vinavyotia hasira sana ni kuuzia walimu T-shirt kwa bei ya juu na kuchukua Shilingi 7500 kwenye kila fulana inayouzwa kwa walimu. Hii ni tamaa iliyopindukia inayompa maumivu kila mwanachama isipokuwa Maganga mwenyewe na kundi lake. Yaani kila mwanachama wa CWT anaponunua T-shirt basi 7500 inaenda kwa Maganga moja kwa moja kupitia wakala wake!

Pia, Maganga amethibitisha kwa matendo yake mwenyewe kuwa hana uwezo wa kushughulikia shida za wanachama na kusimamia matakwa ya chama kikamilifu. Kutozingatia haya mahitaji na mawazo ya walimu kunaleta mgawanyiko na kudhoofisha umoja wa chama cha walimu, ambacho ni muhimu kwa ustawi wetu.

Ongezeko la makato ya ada ya uanachama bila ridhaa ya wanachama ni jambo lingine linalokera na kuleta sintofahamu ndani ya hiki chama chetu. Hii kimsingi ni kukiuka demokrasia na kuonyesha udhaifu katika mfumo unaolinda haki za walimu. Kifupi Mwalimu Maganga anatumia chama cha walimu kwaajili ya kujinufaisha yeye na tumbo lake.

Ukosefu wa uwazi katika mapato na matumizi ya fedha za chama ni suala lingine linaloumiza sana, Vilevile kuhusika kwa Bwana Maganga katika unyanyasaji wa kingono kwa watumishi wa makao makuu ni jambo lisilokubalika na linalotia doa sifa ya chama. Mwalimu mwenzetu ameota mapembe, shime achukuliwe hatua.

Kwa kuongezea, tuhuma za kujihusisha na ushirikina ni kitu kinachosemekana kumpa ujasiri wa kufanya uchafu wote anaoufanya bila uoga. Mimi kama Mwalimu siuogopi uchawi wako Bwana Maganga na unapaswa kujua walimu tumepoteza imani na uongozi wako wa kitapeli na ni muda muafaka uondoke wewe na genge lako ndani ya CWT.
Halafu inaonekana huyo Maganga ana nguvu sana huko CWT! Maana mtu akisoma haya maelezo yako, anapata majibu yote.

Ukijumlisha na lile sakata la DED wa ile Halmashauri kumuandikia barua ya kuripoti, na huyo Maganga kuipuuzia; unaona kabisa ameshindikana.
 
Kati ya uongozi ulioisimamia CWT hadi serikali ikataka iwape ukuu wa wilaya ni huu wa akina Maganga.

Naamini wanafanya vitu vikubwa tofauti na watangulizi wao.

MMejaribu kuwaondoa hapo imeshindikana sasa mnataka kuleta taharuki.

Walimu mnashida sehemu.
 
Wanachama wa Chama cha Walimu nchini tunashuhudia kwa macho yetu tabia ya kudhoofisha chama chetu inayofanywa na Bwana Maganga bila aibu. Hali hii inakasirisha na kuleta wasiwasi juu ya hatma ya walimu nchini ambao kimsingi ni wanachama wa CWT.

Mojawapo ya vitendo vinavyotia hasira sana ni kuuzia walimu T-shirt kwa bei ya juu na kuchukua Shilingi 7500 kwenye kila fulana inayouzwa kwa walimu. Hii ni tamaa iliyopindukia inayompa maumivu kila mwanachama isipokuwa Maganga mwenyewe na kundi lake. Yaani kila mwanachama wa CWT anaponunua T-shirt basi 7500 inaenda kwa Maganga moja kwa moja kupitia wakala wake!

Pia, Maganga amethibitisha kwa matendo yake mwenyewe kuwa hana uwezo wa kushughulikia shida za wanachama na kusimamia matakwa ya chama kikamilifu. Kutozingatia haya mahitaji na mawazo ya walimu kunaleta mgawanyiko na kudhoofisha umoja wa chama cha walimu, ambacho ni muhimu kwa ustawi wetu.

Ongezeko la makato ya ada ya uanachama bila ridhaa ya wanachama ni jambo lingine linalokera na kuleta sintofahamu ndani ya hiki chama chetu. Hii kimsingi ni kukiuka demokrasia na kuonyesha udhaifu katika mfumo unaolinda haki za walimu. Kifupi Mwalimu Maganga anatumia chama cha walimu kwaajili ya kujinufaisha yeye na tumbo lake.

Ukosefu wa uwazi katika mapato na matumizi ya fedha za chama ni suala lingine linaloumiza sana, Vilevile kuhusika kwa Bwana Maganga katika unyanyasaji wa kingono kwa watumishi wa makao makuu ni jambo lisilokubalika na linalotia doa sifa ya chama. Mwalimu mwenzetu ameota mapembe, shime achukuliwe hatua.

Kwa kuongezea, tuhuma za kujihusisha na ushirikina ni kitu kinachosemekana kumpa ujasiri wa kufanya uchafu wote anaoufanya bila uoga. Mimi kama Mwalimu siuogopi uchawi wako Bwana Maganga na unapaswa kujua walimu tumepoteza imani na uongozi wako wa kitapeli na ni muda muafaka uondoke wewe na genge lako ndani ya CWT.View attachment 2826747View attachment 2826749View attachment 2826751
Leo wamekunyima mgao umekuja huku,kipindi ukiwa kwenye kundi lao mbona ulikuwa huwasemi kwa hayo unayoita tuhuma?

Hivi CWT ina kazi gani tofauti na kuwanyang'anya walimu fedha zao?
 
Hao wasu..ma waliwekwa hapo na marehemu aliyekuwa anajinasibu kuwa ni mtu wa kwao.
 
Back
Top Bottom