Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni jambo jema kama Rais Samia umeliona jambo hili la upendeleo Kwa Watoto wa Viongozi na Vigogo wakiwepo Watoto wako. Hakuna mtu anasema Watoto wa Viongozi wasipate kazi ila kuwe na mazingira...
10 Reactions
65 Replies
5K Views
Kwanza, tunamshukuru Mungu kwa kuzuia hujuma zisizo na huruma kwa CCM yetu baada ya kuepusha kupokwa kwa nafasi ya Katibu Mkuu jana. Shukrani zetu, kama makada waandamizi na wazee wa chama, ni kwa...
21 Reactions
92 Replies
13K Views
VIONGOZI MNATIJA GANI KWENYE MAENEO YENU YA UONGOZI, KUBORESHA MAISHA YA WANAOWAWEKA MADARAKANI. Barua ya wazi Kwa Mhe. Rais wa JMT Dr. S.S.Hassan. Imeandikwa Na: Eng.Bishanga, Godfrey Charles...
0 Reactions
0 Replies
491 Views
Kelele zingelikuwa ndio kizuizi cha mtu kufikia hatima Yake, watu wengi tungelikufa mapema. Tukiorodhesha tuhuma hapa kumhusu Makonda, kitabu chenye kurasa elfu kinajaa. Tukisikiliza clips za...
3 Reactions
17 Replies
942 Views
30/11/2023 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Dkt. Abdul Aziz M. Abood anaendelea na ziara yake ya Kikazi kwenye Kata ya MAFIGA na Kata ya MBUYUNI. Huu ni mwendelezo wa ziara yake inayopia...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ametembelea eneo ambalo kumetokea ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Ally’s Star lenye namba T.178 DVB likitoka Dar es Salaam kwenda...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Uchaguzi wa 2015 ulikuwa mzito na mgumu Sana kwa CCM, kuanzia ndani ya chama kwenye Kura za maoni, na pia nje ya chama dhidi ya vyama pinzani. Kwanza CCM walianza kugawanyika baada ya Mkwere...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Viongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea...
24 Reactions
112 Replies
9K Views
Sasa kila kitu kimeanza kuwa wazi kuwa kumbe hili taifa lina watu wasiofaa kabisa. Ukiwadhibiti ili wasifanye uovu watakuvizia kwa kila namna ili mradi tu walipe kisasi sababu tu uliwadhibiti...
10 Reactions
69 Replies
5K Views
Dar es Salam ilikaa kwa shwari Maana matapeli wa viwanja na pesa walikamatika Majambazi walikimbia na kuaicha Dar. Mafisadi wa ardhi walikimbia kama mbwa.
10 Reactions
52 Replies
3K Views
Tayari baadhi ya Wadau wa Maendeleo, akiwemo Mwakilishi wa Ubalozi wa Canada wamewasili Mahakamani. Hadi saa 3:30 asubuhi hii Watuhumiwa walikuwa bado hawajaletwa Mahakamani. ==== Hatimaye...
63 Reactions
493 Replies
58K Views
Makonda karejeshwa. Atajiondoa kama alivyofanya mwanzoni kwa kudhani anaweza kuwatumia wenzake kufikia malengo yake. Sipati picha watakavyofanya kazi na chawa wenzake kama vile Daniel Chongolo...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Tumepokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wetu, Ndugu Daniel Chongolo. Tumeridhia. Tunafanya uchunguzi na jambo hili linaweza likachukua muda kukamilika, kwa sababu hiyo Naibu Katibu Mkuu...
18 Reactions
172 Replies
28K Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili...
0 Reactions
5 Replies
829 Views
Yaani Polepole ni kada aliyewiva, na anakijua Chama Cha Mapinduzi, CCM Yaliyompata Katibu Mkuu Daniel Chongolo alitabiri muda mrefu uliopita. Mimi pia ni kada, lakini tunayoyaona sasa ni too...
10 Reactions
20 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukubali ama ukatae, uchukie ama ukasirike.utukane ama usonye.ulaani ama ubariki ukweli ni kuwa CCM na Serikali yake ndio bima ya matatizo,kero na changamoto za...
1 Reactions
43 Replies
2K Views
Mwaka huu Chama cha Walimu (CWT) kikiwa kinatimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, kimekosa mdomo sahihi wa kuwasemea na kuwasaidia walimu wake sababu tu ya uongozi mbovu unaowanufaisha watu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuna uwezekano wa Mhe Godbless Lema kuhamia chama Tawala chama Cha Mapinduzi ili aweze kugombea nafasi ya ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini. Katika pita pita zangu maeneo mengi ya Arusha wazee ...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Serikali ya Tanzania Kupitia Shirika la reli TRC inatafuta pesa zaidi ya Shilingi Trilioni 14 sawa na Dola 5.6 Bilioni za ujenzi wa reli Mpya Kwa viwango vya Sgr kutoka Bandari ya Mbamba Bay...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano ya kuongeza usafarishaji wa Shehena ya Mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Uganda kupitia ushoroba wa Mwanza. Makubaliano hayo yamesainiwa...
0 Reactions
1 Replies
757 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…