Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeshangaa jinsi suala la Katibu Mkuu wa CWT mwalimu Japhet Maganga linavyofanyiwa siasa badala ya kuchukuliwa kama suala la kiutumishi. Kwanza sio jambo la kawaida mtumishi wa umma kufukuzwa...
35 Reactions
177 Replies
16K Views
Rais Samia ameanza kufoka ati "stupid"? Huu ni mwanzo tu wa ripoti za CAG kuumbua zaidi utawala wako , ufisadi uliuasisi mwenyewe mwanzoni kabisa ya utawala wako. Wakati anaingia madarakani, kwa...
37 Reactions
136 Replies
8K Views
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani...
80 Reactions
349 Replies
20K Views
Rais Samia anatarajia kuungana na Viongozi wengine wa Dunia kushiriki Mkutano mkubwa wa Mazingira Duniani COP 28 ambopo ataingiza ujumbe wa Tanzania. Mkutano huo unatarajiwa kufanyika Dubai...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Uzuri wa siasa ni kwamba hakuna adui wa Kudumu Wala rafiki wa Kudumu ni kuangalia upande maslahi utakaokupa faida. Naunga mkono huu uelekeo wa Bimkubwa ila kikubwa tusirudi kule kwenye utekaji na...
25 Reactions
65 Replies
10K Views
Hivi ndivyo wanavyotofautiana Wakenya na Watanzania Angalia hawa Halafu angalia na hawa
10 Reactions
11 Replies
1K Views
Zimbabwe imetengeneza sarafu ya Dhahabu yenye thamani sawa na USD 900 baada ya pesa Yao kutoimarika. Sie Watanzania tumebinafsisha migodi yetu, wachimbe pesa Kisha kutupa mgao wa makaratasi, tena...
15 Reactions
78 Replies
5K Views
Mkuu wa mkoa umeonekana kwenye TBC 1 saa mbili usiku ukitoa shutuma kuwa wafanyabiashara wamefoji majina! Pamoja na udogo wao kimadaraka shutuma hizo si za kweli. Mkuu wa mkoa kabla ya soko la...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Waswahili Wana msemo wao " Kubwa Jinga" samahani lakini Tunda Lissu. Yaani Singida ina miaka 60 lakini imeachwa Mbali kabisa na akina Njombe wa juzikati Hapa? Ila ufisadi mwingi unaanziaga...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Viongozi wengi hung’ang’ania madaraka mpaka watolewe lakini angalau umeonesha njia nyingine kwa wenzako CCM. Umeonesha kuwa hupendi kukokotwa kama punda kwa maslahi ya wachache. Umeonesha...
16 Reactions
36 Replies
6K Views
Nauliza tu waungwana maana hali hii inanikumbusha wakati ule Chadema ikiwa moto aliondolewa Makamba akaletwa Mkama kisha akaondolewa akaletwa Komredi Kinana na CCM ikatulia Baada ya Goli la mkono...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdul Aziz M. Abood 28/11/2023 amefanya ziara ya kikazi kwenye Kata ya U/TAIFA NA K/NDEGE. Lengo ya ziara hii Mhe Mbunge kwanza ni kusikiliza kero za...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba nianze kwa kuomba msamaha kwa kweli kila nikisikia huyu jamaa kafungua domo lake nashindwa kulala naweweseka wiki nzima. Nchimbi, najua unapita hapa kila siku ila kwa taarifa yako tu kama...
1 Reactions
251 Replies
38K Views
Tanzania Daily News (Dar es Salaam) 7 FEBRUARY 2013 Dodoma - THE government refuted claims that soldiers from neighbouring countries have entered the country and are terrorizing residents in...
1 Reactions
96 Replies
8K Views
Salute wakuu. Moja kwa moja kwenye mada,Kwa sasa ndani ya chama pendwa, chama tawala, chama kiongozi na chama kikuu na kikongwe Afrika na dunia nzima, kuna joto la nani anafaa kushika nafasi ya...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa. Nataka kushiriki,kama kiongozi wa kisiasa,katika kuiongoza na kuijenga nchi yangu-Tanzania. Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa mahiri. Nataka kujiunga na wanasiasa...
1 Reactions
60 Replies
7K Views
Wananchi wa Sae mpya jijini Mbeya wanataka kubomolewa nyumba zao kwa maonevu makubwa. Awali waziri Lukuvi ALIKUJA Kwa Wananchi na kusema umemtuma kurejesha eneo lao ambalo TARI Kwa miaka zaidi ya...
2 Reactions
54 Replies
3K Views
Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa...
7 Reactions
61 Replies
7K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewataka Watumishi wote wa Ardhi nchini kutoka maofisini na kwenda kutoa huduma ya wananchi kwa kuanzisha Kliniko ya Ardhi ambayo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanabodi, Namuangalia Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda akizungumzia hatua za utekelezaji wa sera mpya ya elimu na mtaala mpya wa elimu, kiukweli kabisa Rais Samia apewe maua yake! Wale...
2 Reactions
7 Replies
922 Views
Back
Top Bottom