Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 738
- 479
Katibu wa Bunge Ndg. Nenelwa Mwihambi (ndc) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Utangazaji - TBC Ndg. Stephene Kagaigai na Mkurugenzi Mtendaji wa TBC Dkt. Ayub Rioba walipomtembelea Ofisini kwake, leo tarehe 30 Novemba, 2023.
Pamoja na mambo mengine Viongozi hao wamejadili namna bora ya ushirikiano baina ya Taasisi hizo katika kuhabarisha umma wa Watanzania kuhusu shughuli zinazofanywa na Bunge kwa ujumla.
Pamoja na mambo mengine Viongozi hao wamejadili namna bora ya ushirikiano baina ya Taasisi hizo katika kuhabarisha umma wa Watanzania kuhusu shughuli zinazofanywa na Bunge kwa ujumla.