Tangu alipokufa Kolimba nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM imekuwa haina "Utulivu" wanaondoka wakati wowote

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,133
Unaweza kufuatilia tu kuanzia kwa Gama, Mangula, Makamba, Mkama, Kinana, Bashiru na sasa Chongolo utagundua kuingia na Kutoka kwao ni kwa mizengwe mizengwe.

Labda Ndio Siasa za Mfumo wa vyama vingi zilivyo maana hata Chadema nafasi ya Katibu mkuu ina mizengwe mingi.

Mungu wa mbinguni uturehemu sisi.

Rip Horace Kolimba
 
Hivi usahihi ni upi:-
Tangu alipokufa Kolimba au Tangu Alipouawa Kolimba?????
 
Enzi za Colimba hapakuwa na kashkash coz Mwalimu alikuwa seriously na maendeleo ya Taifa sio tawala hizi za sasa za kuchukia tumbo.
 
mbona baada ya kolimba,akaja Lawrence Mtazama Gama (1995-97) na aliyemfuatia komredi Philip Mangula kuanzia 1997-2007 ndiye katibu mkuu aliyekaa muda mrefu zaidi madarakani katika historia ya chama??
 
Aliondokaje huyo Filipo?
 
Back
Top Bottom