Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda, UWT inakufanya mtaji kuwa omba omba ziara ya mkoa wa Kilimanjaro

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,829
21,460
Ujio wako mkoa wa Kilimanjaro fedha zinaombwa kila mahali, na huna Habari fedha zinakusanywa tena Kwa fedhea kubwa.

Ulipanga safari bila kuwa na Bajeti ya safari zako mkoani Kilimanjaro? Kama utakuwa unaokota fedha Za kuomba omba Kwa watu , bora ujikalie huko uliko!

Ukitaka kuja jitegemee au CCM na UWT ikugharamie.

Unasababisha watu kusumbuliwa na michango na michango yenyewe haijulikani itatumika kununua nini na mapato na matumizi yake yanasimamiwa na nani?

 
Back
Top Bottom