Nafasi za wenezi wa CCM Mikoa zinauzwa?

Tao

Member
Nov 10, 2018
95
157
Wakati wa uchaguzi wa ndani ya CCM mwaka 2022 Chama kilionelea kuwa wenezi wa mikoa wateuliwa badala ya kuchaguliwa.

Na ilipofika tarehe 17 march mwaka huu walioomba nafasi hizo waliitwa kwenye usaili jijini Dodoma.

Sasa angalia maajabu yanayojitokeza.

1. Walioteuliwa mpaka sasa ni around 8 na wanne kati yao ni wachaga.

2. Makada mahiri na wenye uwezo mkubwa na ambao wako kwenye mstari wa mbele katika kukijenga, kukisemea na kukipigania Chama hicho wamewekwa pembeni badala yake wanateuliwa malaya wa siasa wanaohamahama vyama vyao kama Ally Bananga wa Chadema aliyeteuliwa kuwa mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.

Hatahivyo malaya huyu wa kisiasa ameshindwa kabisa kusimamia majukumu yake ipasavyo si kwasababu tu hakijui chama vizuri lakini vilevile ni kiongozi ambaye hakuandaliwa vizuri.

Alichokuwa anafanya na wenzake kule Chadema ni kupiga chabo na kuporomosha matusi kwenye majukwaa ya siasa.Period

Hana jipya
Hana uwezo
Ni mlevi tu wa madaraka.
Anabebwa na baadhi ya watu ndani ya CCM wenye agenda binafsi

Inauma sana kuwa Makada mahiri wa CCM kutoka Dar wametupwa na badala yake Bananga ndiye mwenezi wa Mkoa.

3. Uteuzi unafanyika taratibu badala ya kufanyika mara moja na mara nyingi agenda hii ya wenezi haipewi umuhimu kwenye vikao vikuu vya Chama hivyo wapiga dili walioko ndani ya Chama wanatumia nafasi hii kupiga ela.

Waliunda kamati kusimamia jambo hili lakini cha ajabu kuna madudu ya kutisha.

Kuna watu wameteuliwa baada ya kutoa rushwa kubwa.

Kuna kipindi Bwana Shabani Mwanga,Mume wa Sofia Mjema alichukua uteuzi wa wenezi kama agenda yake binafsi na alifanya mambo ya ajabu ikiwa ni Pamoja na kuwapigia baadhi ya walioomba nafasi hiyo kuwaeleza kuwa "wasipomuona "hawatateuliwa "

Kwakuwa Paul Christian Makonda ameteuliwa kuwa Mwenezi wa CCM taifa na kwakuwa ni mchapa kazi mahiri na asiyependa masihara nashauri yafuatayo

1. Amkumbushe Mwenyekiti wetu wa taifa umuhimu wa wenezi wa mikoa ili jambo hili lifanyiwe kazi ipasavyo.

2. Yeye kama Mwenezi wa taifa hawezi kufanya kazi mwenyewe hivyo uteuzi wa wenezi ufanyike haraka.

3. Uchunguzi wa kina ufanyike kwani kuna taarifa baadhi ya walioteuliwa walitoa hongo

Paul Christian Makonda Tunakuamini.

Fanyia kazi jambo hili

Usimeze matapishi ya Sofia Mjema na mume wake na wala rushwa ndani ya CCM

Kidumu Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake
 
Nimeona katika uzi wako umefanya kazi ya kushambulia na kumshambulia mtu mmoja tu.huo siyo utamaduni wetu wana CCM kushambuliana mitandaoni. Acha ukabila wa kusema waliochaguliwa na wachanga maana kinachoangaliwa ndani ya CCM Ni uwezo wa mtu na siyo kabila lake.

Pia ungeweka ushahidi wa rushwa unazozisema na siyo kumchafua mtu kwa chuki zako binafsi na sababu zako binafsi.

Chama kina utaratibu wake wa kuteua watendaji katika nafasi mbalimbali.kwani wewe haraka yako ni nini? Wapi na katika mkoa upi uliposikia kuwa kazi za chama haziendi? Nani kakuahidi nafasi ya uenezi hadi uwe na munkari na haraka ya kukiamrisha chama kifanye uteuzi kwa haraka?

Mh Makonda alikwambia wapi kuwa ameshindwa kufanya kazi kwa kuwa hakuna waenezi? Wapi na mkoa upi umekwenda ukakuta chama hakisemewi?

Nani kakutuma kuja kuweka tuhuma za uongo na kuchafua viongozi wetu? Kwanini unakuwa na roho hiyo na akili ya kitoto kiasi hicho? Nani kakufundisha kuwa huo ndio utaratibu wa CCM? Wewe shida yako ni nini hasa?
 
Rushwa Imezaliwa Ccm Na Kukulia Huko Huko Baadaye Ikagoma Kuondoka/Kutoka
Hakuna Jipya Ama Maajabu Isipokuwa Ipishe Tu
Gamba Liligoma Kuvuka Mpaka Kesho
 
Wakati wa uchaguzi wa ndani ya CCM mwaka 2022 Chama kilionelea kuwa wenezi wa mikoa wateuliwa badala ya kuchaguliwa...
Sema wewe nae ni mmoja wa wanao taka hizo nafasi za kusifu na kuabudu. Mbaya zaidi hukijji chama chako.
Kwa taarifa yako Bananga sio Chadema bali alikwenda Chadema kutacuta fursa.

Bananga ni Ccm kindaki ndaki.

Waulize wanao kijua chama hako.

Next time punguza umbea
 
Wakati wa uchaguzi wa ndani ya CCM mwaka 2022 Chama kilionelea kuwa wenezi wa mikoa wateuliwa badala ya kuchaguliwa...
Kidumu hicho kilishatoboka zamani na wenyewe hamna habari🤣
 
Wakati wa uchaguzi wa ndani ya CCM mwaka 2022 Chama kilionelea kuwa wenezi wa mikoa wateuliwa badala ya kuchaguliwa...
CCM hiihii iwe na wachapa kazi badala ya Mafisadi na majambawazi mkuu?

Yaani leo ndio unaelekea kuupata ukweli?

Nadhani wao hawana tatizo kwa7bu ndio malengo yao,mwenye matatizo ni wewe ambaye ukinyimwa mgao una lalamika lkn wao wanatuliza boli hata km akinyimwa.
 
Wakati wa uchaguzi wa ndani ya CCM mwaka 2022 Chama kilionelea kuwa wenezi wa mikoa wateuliwa badala ya kuchaguliwa.

Na ilipofika tarehe 17 march mwaka huu walioomba nafasi hizo waliitwa kwenye usaili jijini Dodoma.

Sasa angalia maajabu yanayojitokeza.

1. Walioteuliwa mpaka sasa ni around 8 na wanne kati yao ni wachaga.

2. Makada mahiri na wenye uwezo mkubwa na ambao wako kwenye mstari wa mbele katika kukijenga, kukisemea na kukipigania Chama hicho wamewekwa pembeni badala yake wanateuliwa malaya wa siasa wanaohamahama vyama vyao kama Ally Bananga wa Chadema aliyeteuliwa kuwa mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.

Hatahivyo malaya huyu wa kisiasa ameshindwa kabisa kusimamia majukumu yake ipasavyo si kwasababu tu hakijui chama vizuri lakini vilevile ni kiongozi ambaye hakuandaliwa vizuri.

Alichokuwa anafanya na wenzake kule Chadema ni kupiga chabo na kuporomosha matusi kwenye majukwaa ya siasa.Period

Hana jipya
Hana uwezo
Ni mlevi tu wa madaraka.
Anabebwa na baadhi ya watu ndani ya CCM wenye agenda binafsi

Inauma sana kuwa Makada mahiri wa CCM kutoka Dar wametupwa na badala yake Bananga ndiye mwenezi wa Mkoa.

3.Uteuzi unafanyika taratibu badala ya kufanyika mara moja na mara nyingi agenda hii ya wenezi haipewi umuhimu kwenye vikao vikuu vya Chama hivyo wapiga dili walioko ndani ya Chama wanatumia nafasi hii kupiga ela.

Waliunda kamati kusimamia jambo hili lakini cha ajabu kuna madudu ya kutisha.

Kuna watu wameteuliwa baada ya kutoa rushwa kubwa.

Kuna kipindi Bwana Shabani Mwanga,Mume wa Sofia Mjema alichukua uteuzi wa wenezi kama agenda yake binafsi na alifanya mambo ya ajabu ikiwa ni Pamoja na kuwapigia baadhi ya walioomba nafasi hiyo kuwaeleza kuwa "wasipomuona "hawatateuliwa "

Kwakuwa Paul Christian Makonda ameteuliwa kuwa Mwenezi wa CCM taifa na kwakuwa ni mchapa kazi mahiri na asiyependa masihara nashauri yafuatayo

1. Amkumbushe Mwenyekiti wetu wa taifa umuhimu wa wenezi wa mikoa ili jambo hili lifanyiwe kazi ipasavyo.

2. Yeye kama Mwenezi wa taifa hawezi kufanya kazi mwenyewe hivyo uteuzi wa wenezi ufanyike haraka.

3. Uchunguzi wa kina ufanyike kwani kuna taarifa baadhi ya walioteuliwa walitoa hongo

Paul Christian Makonda Tunakuamini.

Fanyia kazi jambo hili

Usimeze matapishi ya Sofia Mjema na mume wake na wala rushwa ndani ya CCM

Kidumu Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake
Mapandikizi yanarejezwa zizini na kupewa pembe.

CCM inaenda kujifia.
Wenye akili tumeshaiona kesho yake
 
Back
Top Bottom