Kwanini umeme usimuondoshe Rais Samia madarakani?!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,242
103,943
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
 
Kitendo cha CCM na serikali yao dhalimu ya wala rushwa kuhujumu mifumo ya nishati (mafuta + umeme), kodi, Bima, bandari ni sababu tosha ya kuwa wamefeli sababu wanafanya hujuma za makusudi na kuturudisha nyuma kimaendeleo huku majizi yanajulikana hadharani na hayachukuliwi hatua yoyote kazi kutesa raia wadogo wasio na madhara makubwa kwenye uchumi na taifa.

Hebu tuamue tu pamoja. Amani huwa inalindwa huwa haitokei tu kama nyasi. Hawa jamaa wameshajua kuwa mwisho wao umekaribia sasa wanakomoa na kutumia mabavu, sisi tutumie uzalendo na utaifa wetu kama sababu kuu ya kuwatoa.
 
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Umeenda straight to the point na umeeleweka.
 
Huyu mwanamke ana dharau sana KATIBA KUIITA KIJITABU BILA KUJUA HIKO KIJITABU NDIKO KIMEMUWEKA MADARAKANI KWA MSAADA WA KIKWETE
Dharau kubwa. Mbele ya katiba, hata Bible na Quran hazijawekwa juu zimewekwa sambamba kumaanisha kuwa katiba ya jamuhuri inalindwa kuliko kitabu kingine chochote maana ndicho kitabu kimeshika inchi.
Yeye anaanza leta dharau.
 
Mkuu mwanamke ni mwanamke tu haijawahi kuwa mtu wa kumuamini ni kiumbe cha hovyo sana ndio maaana Mungu katoa tahadhali kwenye kuishi nao viumbe hawa
 
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Na wamekopa yrilions of money,

Mikopo hiyo italipika vipi ikiwa Nchi Iko gizani?

Ule Wimbo wa nyoka w KIJANI inahusika hapa!!
 
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Akishaondoka na hadhi ya Urais avuliwe kabisa
 
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
She must go she must go
 
Honestly, hili limeshakuwa tatizo kubwa na baya kuliko..

And very unfortunately, kuwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yote iko kimya ni kama vile hawafanyi lolote kabisa pretending that things are okay while aren't..

Na sijui nani kamwambia kuwa tatizo la umeme linatatuliwa kwa kabadili sura za viongozi wanaosimamia sekta hii ya nishati ya mafuta na ya umeme. This is very pathetic...

Na hii inaleta maswali sana yasiyo na majibu kuwa, kwa takribani miaka 6 au 7 hivi wakati wa u - Rais wa John P. Magufuli, tatizo la umeme ni kama lilishaondoka Kwa zaidi ya 95%...

Lakini ndani ya miaka miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan, tatizo limerudi Kwa kasi ya kutisha na Kwa ubaya zaidi kuliko nyakati ambazo tumewahi kuwa na shida ya umeme huko nyuma..!!
 
Leo maeneo ya Buza huku na Yombo kwa ujumla hakuna umeme na jana asubuhi haukuwepo ukarudi usiku, hili la umeme linatia hasira sana ..
 
Umeme kutokuwepo kwa saa 1 ni hasara kubwa sasa imagine nchi hii sasa umeme haupatikani kuanzia masaa 12 na kuendelea na ni jambo la kawaida tena sio siku moja hali hiyo ni ya kuendelea.
 
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Tatizo la umeme ni utekelezaji wa ilani.

Kama unanisha, hatoki
 
Back
Top Bottom