Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu mwenyekiti wa CCM Komredi Kinana leo amefungua Seminar ya mafunzo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM. Komredi Kinana amewataka Wajumbe hai Kuwa Wabunifu na Wazalendo wa kweli ili...
2 Reactions
103 Replies
6K Views
Kuna wimbo wa bongo fleva nimeusikia Eti Mwimbaji anasema Viongozi wetu wa Kisiasa mfano Chadema wakipewa Kuongoza Serikali ya Marekani Baada ya miaka 5 Nchi hiyo itakuwa imefirisika Ndio nauliza...
1 Reactions
6 Replies
664 Views
Mapokezi ya Mh. comrade Paul Makonda yameibua mijadala mbalimbali hapa Bongo. Huku wengine Wakimponda na wengine kumsifia. Binafsi naungana na Makonda hasa kwenye Kauli yake ya kwamba Tanzania...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete amemshukuru hayati Mkapa kwa kumlipia Ada UDOM kwa masomo ya Masters ambapo ametunukiwa Shahada hiyo jana na mh Mizengo Pinda Ridhiwani Kikwete amesema Mkapa ndiye...
19 Reactions
111 Replies
9K Views
Ipo dhana kwamba kwa sababu Rais wa JMT ni Mwanachama wa Chama cha Siasa basi Chama chake kilichompitisha ndio kina Nguvu ya mwisho Hii siyo kweli, Chama kinakuwa na Nguvu kabla Rais hajaapishwa...
1 Reactions
22 Replies
942 Views
Askofu Ngonyani amesema Israel imejiwekea Kanuni kwamba thamani ya Myahudi 1 ni Sawa na Wapalestina 10 Kanuni Hii ndio inayosababisha Wapalestina Wengi wauwawe vitani ambapo sasa ratio imefikia...
0 Reactions
2 Replies
406 Views
Uholanzi, kupitia Shirika lake la Invest International, imeipatia Tanzania, msaada wa euro milioni 30, sawa na zaidi ya shilingi bilioni 82 za Tanzania, kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa...
5 Reactions
57 Replies
4K Views
Pamoja na changamoto nyingi, Tanzania, imepiga hatua katika kutoa huduma za elimu na afya. Huduma hizi zimepitia vipindi na sera tofauti. Kwa sasa elimu ya msingi hadi shule za upili inatolewa...
1 Reactions
2 Replies
440 Views
Rais ni madaraka ya juu kabisa kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yeye ndiye mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Sheria ya Wastaafu inampa Rais unafuu mkubwa kuendelea kuhudumiwa na...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka mitano imepita tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu kushambuliwa, Jeshi la polisi limesema bado linaendelea kumsubiria mwanasiasa huyo na dereva wake...
7 Reactions
148 Replies
10K Views
Hapo chini kuna video inayoonyesha makazi ya Area D. Hususan ni hilo geti na nyumba ya walinzi ambao tunaambiwa siku ya tukio hawakuonekana. Hakuna video yoyote nyingine inayoonyesha eneo hilo...
18 Reactions
57 Replies
8K Views
Wadau nawasalimu. Nimekuwa najiuliza Uwezo wa Jeshi letu Kiintelejensia kwa matukio makubwa mawili 1. Kutekwa kwa Mfanyabiasha MO DEWJI 2. Kupigwa RISASI kwa Kiongozi wa CHADEMA Mh.TUNDU LISSU...
11 Reactions
74 Replies
5K Views
Wabunge kutoa taarifa ya mali Sheria ya 1995 Na.12 ib.12 70.-(1) Kila Mbunge atatakiwa kuwasilisha kwa Spika nakala mbili za taarifa rasmi ya maelezo ya mali yake na kadri itakavyokuwa, mali ya...
0 Reactions
5 Replies
580 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amesema historia ya Bibi Titi wanawake na wananchi wanajifunza mengi kuhusu uzalendo kwa nchi yao, uwezo na nafasi ya mwanamke kwenye...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Habari za muda ndugu zangu. Kwanza kabisa niipongeze serikali kwa juhudi za kuajiri hasa mwaka huu wa 2023, imejitahidi sana kuajiri vijana katika kada mbalimbali tofauti na za ualimu na afya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Naona kabisa SSH anaenda kujipatia Augustino Mrema wake kwa kupitia Makonda. Utaratibu wa Mrema hauna tofauti na wa Makonda, anajijenga yeye binafsi, baadae Sasa ataamini yeye ndio yeye. Sasa...
8 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameielekeza Kamati inayoshughulikia Masuala ya Mashariki ya Kati ya Umoja huo kutembelea eneo hilo mapema katika juhudi za kutafuta...
6 Reactions
24 Replies
5K Views
Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Tanzania I. Utangulizi Mheshimiwa Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Tanzania, Msako wa makahaba jijini Dar-es-Salamaa uliosababisha Mauaji ya...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Tulionya mapema sana kwamba , huu mpango wa Chadema wa kusajili watu nyumba kwa nyumba , na huku wengine wakifuatwa hadi mashambani utakuja kuleta mtikisiko , hiki ndicho kilichotokea huko...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
My Take Wanachadema mnaitwa kutoa povu huku 😁😁 == "Uchaguzi wa mwaka 2025 utakuwa ni uchaguzi huru na haki kwasababu tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi zinarekebishwa na kutengenezwa upya...
3 Reactions
140 Replies
3K Views
Back
Top Bottom