Inakuwaje CHADEMA wameacha kuishinikiza serikali kuchunguza sakata la kada wao na msaidizi wa Mwenyekiti wao Ben Saanane?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,503
51,098
Nastaajabu kuona chama cha CHADEMA ambacho kinajinasibu kuja kushika dola kinashindwa kuipa shinikizo ENDELEVU serikali ya CCM ifanye uchunguzi kujua ni kitu gani kilimsibu kada wao Ben Saanane. Hili linastaajabisha kwa sababu Ben Saanane alikuwa ni mwanachama, tena kada nguli wa chama, na si hivyo tu bali masaidizi wa Mwenyekiti.

Ukimya huu wa Chadema unatuma meseji kwa wanachama na wananchi kuwa "Unaweza kutumikia chama, lakiniyakikufika, unabaki peki yako na chama wala hakitakusemea, wala kukupigania".

Haiwezekani chama makini kikaliacha hili jambo hivihivi. Liko wapi shinikizola chama kutaka kuundwa tume kuhusu makada wao walipotezwa na kuuawa mpaka sasa?.

Kuna yule kada wa Chamdema kiongozi wa Kata ya Hananasif, bwana Michael. Iko wapi Zeal ya chama kutaka kujua ni maswahibu gani yamewafika makada wao?.

CHADEMA INAO WAJIBU WA KULISHIKIA BANGO SUALA LA BEN SAANANE. La sivyo kitawezaje kupigania watanzania wote wakati kinashindwa kumpigania kada wake?
 
Unataka washike bunduki waingie porini? Mbona nyie ACT Wazalendo(kuanzia CUF)kuna wanachama wenu wengi sana waliuliwa na serikali ya CCM kuanzia enzi za Mkapa hadi Magufuli na leo mnakula nao sahani moja?
 
Mbona Lissu yeye mwenyewe yupo na anapiga kelele na suala lake hata uchunguzi wa polisi tu haupo ndio ije hiyo time?

Dawa ni kuiondoa serikali madarakani kisha tume huru iundwe kuchunguza uhalifu wote dhidi ya binadamu wengine.
 
Kuna tofauti kati ya mtu binafsi kutia shinikizo, na chama kupitia vikao vyake kuja na azimio la kutaka majibu. Kamati kuu ya Chadema haijawahi kutoa maazimio ya kuishinikiza serikali ya CCM ifante uchunguzi na kuja na majibu juu ya masuala hayo.
 
Nastaajabu kuona chama cha CHADEMA ambacho kinajinasibu kuja kushika dola kinashindwa kuipa shinikizo ENDELEVU serikali ya CCM ifanye uchunguzi kujua ni kitu gani kilimsibu kada wao Ben Saanane. Hili linastaajabisha kwa sababu Ben Saanane alikuwa ni mwanachama, tena kada nguli wa chama, na si hivyo tu bali masaidizi wa Mwenyekiti.

Ukimya huu wa Chadema unatuma meseji kwa wanachama na wananchi kuwa "Unaweza kutumikia chama, lakiniyakikufika, unabaki peki yako na chama wala hakitakusemea, wala kukupigania".

Haiwezekani chama makini kikaliacha hili jambo hivihivi. Liko wapi shinikizola chama kutaka kuundwa tume kuhusu makada wao walipotezwa na kuuawa mpaka sasa?.

Kuna yule kada wa Chamdema kiongozi wa Kata ya Hananasif, bwana Michael. Iko wapi Zeal ya chama kutaka kujua ni maswahibu gani yamewafika makada wao?.

CHADEMA INAO WAJIBU WA KULISHIKIA BANGO SUALA LA BEN SAANANE. La sivyo kitawezaje kupigania watanzania wote wakati kinashindwa kumpigania kada wake?
unaumwa akili wewe siyo bure
 
Nyuma ya kifo cha Ben saa8 wapo chadema ..mbowe...rostam azizi na msoga gang lengo.lao kumchafua mtukufu JPM hivyo kwa kuwa jpm ayupo awawezi kutaka hiyo habari ya uchungu.
 
..badala ya kulaumu kikosi kazi cha Jpm na Bashite kwa mauaji unawalaumu Chadema.

..badala ya kumlaumu Raisi kwa kutounda Tume ya Uchunguzi kuchunguza mambo ya kikatili tuliyofanyiwa unailaumu Chadema.

..hiki ulichokifanya ndiyo kinawapa moyo na matumaini Ccm na serikali kuendelea kukandamiza haki zetu.
 
Nastaajabu kuona chama cha CHADEMA ambacho kinajinasibu kuja kushika dola kinashindwa kuipa shinikizo ENDELEVU serikali ya CCM ifanye uchunguzi kujua ni kitu gani kilimsibu kada wao Ben Saanane. Hili linastaajabisha kwa sababu Ben Saanane alikuwa ni mwanachama, tena kada nguli wa chama, na si hivyo tu bali masaidizi wa Mwenyekiti.

Ukimya huu wa Chadema unatuma meseji kwa wanachama na wananchi kuwa "Unaweza kutumikia chama, lakiniyakikufika, unabaki peki yako na chama wala hakitakusemea, wala kukupigania".

Haiwezekani chama makini kikaliacha hili jambo hivihivi. Liko wapi shinikizola chama kutaka kuundwa tume kuhusu makada wao walipotezwa na kuuawa mpaka sasa?.

Kuna yule kada wa Chamdema kiongozi wa Kata ya Hananasif, bwana Michael. Iko wapi Zeal ya chama kutaka kujua ni maswahibu gani yamewafika makada wao?.

CHADEMA INAO WAJIBU WA KULISHIKIA BANGO SUALA LA BEN SAANANE. La sivyo kitawezaje kupigania watanzania wote wakati kinashindwa kumpigania kada wake?
Punguza kujitoa ufahamu ndg...kwnn unaamua kujishushia heshima kwa makusudi???
 
Hata wewe unaweza kushinikiza
 
CHADEMA INAO WAJIBU WA KULISHIKIA BANGO SUALA LA BEN SAANANE. La sivyo kitawezaje kupigania watanzania wote wakati kinashindwa kumpigania kada wake?
Swala hili walilipigania ila kama ulimsikia Mama samia akasema wazike yaliyopita na kwamba wafanye maridhiano going forward. Doesn't matter Samia hamkubali but ni CCM so hawezi toboa siri ya uchaguzi 2020 wala vifo vya wanasiasa utawala uliopita maana kimsingi naye alikuwepo.

So ndio hivyo wakaishia kutoa msamaha kwa wanachama almost 600 wa chadema waliofungwa nchi nzima. Nyingine ku refund pesa walizoporwa and things of that sort.
 
sasa si unaona maridhiano yamefeli.

But, hivi human life is for sale kweli?, maana hao 600 waliachiwa na pesa walizoporwa ni halali yao na wala siyo hisani
 
Back
Top Bottom