Miundombinu ya Barabara - Zanzibar

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Kwa kipindi cha miaka Mitatu ya uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi ameweza kuiunganisha Zanzibar kwa kuimarisha, kuboresha na kujenga upya barabara zote za ndani zenye urefu Kilomita 275.9 Unguja na Pemba.

Aidha Rais Dk.Mwinyi amefanikisha kuanza ujenzi wa Barabara kuu zenye urefu wa Kilomita 277 Unguja na Pemba.

"Nimefurahika sana kuona maendeleo makubwa yanayoendelea kufanyika kwa kipindi kifupi cha Rais Dk.Mwinyi ambapo hatukuwahi kufikiria huku kwetu Zuze tutafikiwa na Barabara, Hongera Dk.Mwinyi," amesema Hassan Omari Baruti mkaazi wa Zuze.
 
Kwa kipindi cha miaka Mitatu ya uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi ameweza kuiunganisha Zanzibar kwa kuimarisha, kuboresha na kujenga upya barabara zote za ndani zenye urefu Kilomita 275.9 Unguja na Pemba.

Aidha Rais Dk.Mwinyi amefanikisha kuanza ujenzi wa Barabara kuu zenye urefu wa Kilomita 277 Unguja na Pemba.

"Nimefurahika sana kuona maendeleo makubwa yanayoendelea kufanyika kwa kipindi kifupi cha Rais Dk.Mwinyi ambapo hatukuwahi kufikiria huku kwetu Zuze tutafikiwa na Barabara, Hongera Dk.Mwinyi," amesema Hassan Omari Baruti mkaazi wa Zuze.View attachment 2831952
Mapinduziiiiiiii!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom