Dkt. Mpango Muogope Mungu, Wanasiasa wanazika na kukuacha! Umetegwa ukategeka

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411

Daktari Philip Isdor Mpango, habari? Prof Chachage Seithy Loth Chachage - alitumia neno ‘Collective Imbecilization’ kueleza uzuzu, ubwege, ufala wa pamoja unaoweza kufanywa na serikali Hili jaribio la kuwapumbaza watu mamilioni kwa mpigo.

Ni kama vile kuwakusanya watu milioni 50, ukawaweka ndani ya ukumbi mmoja kwa ukubwa huo Ukafunga madirisha na milango, ukawanyunyizia dawa ya uzuzu, ubwege na ufala, ikawakolea, ukawaachia waende Duniani waendelee shughuli zao.

Haiwezekani, isipokuwa inawezekana watu wakapumbazwa kwa pamoja, wakafanywa mazuzu kwa pamoja, wakageuzwa mabwege kwa pamoja Hata kama watu hao hawajioni ndani ya ukumbi huo na hawasikii harufu ya dawa ya ajabu wanayopuliziwa na kuwafanya kuwa mabwege na mazuzu.

Ipo mifumo imetumika, kutufanya sote tuwe mazuzu kama ambavyo alieleza Chachage alipokuwa akizungumzia “collective imbecilization” Kwamba Makamu wa Rais ni special force au secret service? Kwamba Makamu wa Rais unatumwa kazi za siri za serikali?

Ukajificha usijulikane ulipo? Daktari Mpango, hivi ni kwanini unawaona watanzania wote ni mazuzu? Tunakubaliana kwamba, mazuzu yapo, lakini siyo wote ni mazuzu. Dkt. Mpango, usilalamikie mitandao ya kijamii. Lawama peleka ofisi ya Makamu wa Rais.
Watanzania wanayo haki ya kuhoji alipo Makamu wa Rais, wao ndio wanaomlipa mshara na ameapa kuwatumikia.

Dkt. Mpango, unashukuru kuombewa na watu gani? Wanakuombea wapi na vipi wakati unasema ulikuwa katika shughuli maalum na siyo ugonjwa? Watanzania hawajui ulipokuwa ukipokea matibabu Korea Kusini.

Ni wapekuzi wachache tulifahamu hadi jina la hospitali uliyofanyiwa upasuaji. Ulikaa kimya umetumwa kazi ya kijasusi, mwezi mmoja baadae, uibukie kanisani halafu ukapokelewe Ikulu na Rais?

Aah! Akili gani hii Daktari? Ni mara ya pili hii, unazusha taharuki ukiwa katika matibabu, baadae unatoka kuzungumza na umma, unawasuta,huna haya wala moyo wa shukhran. Kuna kusema ulikuwa mgonjwa? Na kwanini unawafokea watu waliokuwa wanauliza makamu wa Rais yupo wapi?

Unasema ulikuwa unaona kila kitu ukiwa mafichoni, ukanyuti. Sasa kwanini unawasuta leo watu wanaokupenda na walikuwa wanauliza ulipo?

Kwamba hawakuwa na haki ya kuuliza Makamu wa Rais alipo? Hii ni tabia mbaya na haitakiwi kuwa desturi kwa watawala kuwapumbaza watanzania. Tunakataa.

Watanzania ndiyo mabosi wenu viongozi/watawala. Unapotea, mwezi haujulikani ulipo. Waajiri wako tunaanza kukutafuta, umejificha sehemu (tunajua hospitali), unatuchora tu? Unaona upo sawa? Ok! Baada ya mwezi mzima, unapatikana, unaibuka kanisani na Ikulu, kutufokea.

Unatufokea watu tunakununulia kila kitu ambacho unakula na kuvaa? Daktari Mpango, Rais ni bosi wako, sisi, watanzania ni waajiri wako, sisi ndiyo mabosi wako, pia mabosi wa Rais. Unawajibika kwa Rais, unatumikia wananchi.
Daktari, SIJAPENDA.

MM​
 
Dr. Mpango ana changanya vitu viwili:

1: Watu walikuwa wanaulizia alipo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania, na mwezi ni muda mrefu kidogo ni haki ya watanzania kujua Makamu wao wa Rais yuko wapi, hii ni haki halali kabisa, wala sio kosa au kumtakia mabaya, umakamu wa Rais ni mali ya watanzania sio mali ya mtu binafsi, ila sifa binafsi kama u Dr au PhD ni mali ya mtu binafsi.

2: Watu walikuwa hawaulizi alipo Dr. Mpango kama Mpango, hapa ndipo anaposhindwa kutofautisha, bila shaka hakuna mtu angemuulizia Dr. Mpango kama angekuwa sio Makamu, sasa Dr. Mpango alivyojibu, ni kama kajibu yeye sio Makamu wa Rais, akajibu kama Dr. Mpango, ingekuwa sio Makamu wa Rais, wala hakuna hata mtu mmoja angeuliza yuko wapi, hapa ndio anashindwa kutofautisha vema nilivyoona, wether umetumwa au la, but public must know Makamu wao yuko wapi, sbb ni kiongozi wao, na huu ndio upendo wetu watanzania, alivyojibu personally naona kafikiri kuwa watu wanamuombea mabaya, next time kiongozi kama haonekani hadharani it means tusiulize yuko wapi, nadhani hapa aliteleza kidogo jinsi ya kujibu public.
 
Hii issue inazungushwa mara nyingi mpaka sasa naona inapelekwa out of context, naona kuendelea kuifanya itrend ni tabia yetu ya kupenda kutumia muda mwingi kujadili vitu vyepesi.

Ajabu tumeshasahau nauli za mabasi zilizopanda last week, wote tumegeukia afya ya Dr. Mpango hata kama amesharudi na tumemuona, sasa hatutaki kuamini kama ndie!.

Serikali tunayoiona imetukosea kwa kutuficha habari za alipo Dr. Mpango, kumbe ndio serikali hiyo hiyo iliyotuzidi akili na kutuhamisha kwenye mjadala wa msingi uliokuwepo kabla, tujitafakari...

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Msameheni tu Makamu wa Rais. Ukweli ni kuwa angeweza kuishia kutoa shukrani kwa waliomuombea bila kuzungumzia watu wenye nia njema waliotaka kujua yuko wapi na waliotumia mbinu ya kusema uongo kuwalazimisha watawala kujitokeza na kusema yuko wapi.

Nakubaliana na wewe kuwa ametegeka kwasababu kama ana adui,hili likijirudia watu watakaa kimya si kwake tu bali hata kiongozi mwingine.

Aliyemwandikia hotuba na kuweka hiki kipengele ni mhuni sana. Akipata muda awashukuru sana watanzania wenye mapenzi mema kwake vizuri. Si kila kiongozi anatafutwa ila kwa kuwa ana utu watanzania walimuonyesha utu. Moyo wa shukrani ni muhimu sasa kuliko jana.

Mimi binafsi nimemsamehe tu Baba yangu yule kwasababu pamoja na mamlaka aliyonayo bado sio mwanasiasa na nadhani kuusoma umma na kuwaza kesho yake kupitia macho ya watanzania bado hajatulia kutafakari. Watanzania walishadanganywa sasa hivi wana phobia. Awaelewe.

Mungu akulinde Dr. Mpango. Uwe tu unajitokeza kila wiki,mimi binafsi nitafuatilia ulipo.
 
Daktari Philip Isdor Mpango, habari? Prof Chachage Seithy Loth Chachage - alitumia neno ‘Collective Imbecilization’ kueleza uzuzu, ubwege, ufala wa pamoja unaoweza kufanywa na serikali Hili jaribio la kuwapumbaza watu mamilioni kwa mpigo.

Ni kama vile kuwakusanya watu milioni 50, ukawaweka ndani ya ukumbi mmoja kwa ukubwa huo Ukafunga madirisha na milango, ukawanyunyizia dawa ya uzuzu, ubwege na ufala, ikawakolea, ukawaachia waende Duniani waendelee shughuli zao.

Haiwezekani, isipokuwa inawezekana watu wakapumbazwa kwa pamoja, wakafanywa mazuzu kwa pamoja, wakageuzwa mabwege kwa pamoja Hata kama watu hao hawajioni ndani ya ukumbi huo na hawasikii harufu ya dawa ya ajabu wanayopuliziwa na kuwafanya kuwa mabwege na mazuzu.

Ipo mifumo imetumika, kutufanya sote tuwe mazuzu kama ambavyo alieleza Chachage alipokuwa akizungumzia “collective imbecilization” Kwamba Makamu wa Rais ni special force au secret service? Kwamba Makamu wa Rais unatumwa kazi za siri za serikali?

Ukajificha usijulikane ulipo? Daktari Mpango, hivi ni kwanini unawaona watanzania wote ni mazuzu? Tunakubaliana kwamba, mazuzu yapo, lakini siyo wote ni mazuzu. Dkt. Mpango, usilalamikie mitandao ya kijamii. Lawama peleka ofisi ya Makamu wa Rais.
Watanzania wanayo haki ya kuhoji alipo Makamu wa Rais.

Dkt. Mpango, unashukuru kuombewa na watu gani? Wanakuombea wapi na vipi wakati unasema ulikuwa katika shughuli maalum na siyo ugonjwa? Watanzania hawajui ulipokuwa ukipokea matibabu Korea Kusini.

Ni wapekuzi wachache tulifahamu hadi jina la hospitali uliyofanyiwa upasuaji. Ulikaa kimya umetumwa kazi ya kijasusi, mwezi mmoja baadae, uibukie kanisani halafu ukapokelewe Ikulu na Rais?

Aah! Akili gani hii Daktari? Ni mara ya pili hii, unazusha taharuki ukiwa katika matibabu, baadae unatoka kuzungumza na umma, unawasuta. Kuna kusema ulikuwa mgonjwa? Na kwanini unawafokea watu waliokuwa wanauliza makamu wa Rais yupo wapi?

Unasema ulikuwa unaona kila kitu ukiwa mafichoni, ukanyuti. Sasa kwanini unawasuta leo watu wanaokupenda na walikuwa wanauliza ulipo?

Kwamba hawakuwa na haki ya kuuliza Makamu wa Rais alipo? Hii ni tabia mbaya na haitakiwi kuwa desturi kwa watawala kuwapumbaza watanzania. Tunakataa.

Watanzania ndiyo mabosi wenu viongozi/watawala. Unapotea, mwezi haujulikani ulipo. Waajiri wako tunaanza kukutafuta, umejificha sehemu (tunajua hospitali), unatuchora tu? Unaona upo sawa? Ok! Baada ya mwezi mzima, unapatikana, unaibuka kanisani na Ikulu, kutufokea.

Unatufokea watu tunakununulia kila kitu ambacho unakula na kuvaa? Daktari Mpango, Rais ni bosi wako, sisi, watanzania ni waajiri wako, sisi ndiyo mabosi wako, pia mabosi wa Rais. Unawajibika kwa Rais, unatumikia wananchi.
Daktari, SIJAPENDA.

Brigedia Mtikila, MMM​
Na Mie sikutegemea kuwa mpango ana hekima Ile
 
Njia Ya Mwongo Ni Fupi
Mwongo Mwongoze

Itajulikana Tu Tena Zaidi Ya Leo
Mficha Maradhi................

Chongo Kwa Mnyamwezi Ila Kwa Mzaramo Amri Ya Mungu
 
Kwa kweli!
 
Hii kauli siipendi japo ndio ukweli!!Naomba tutafute msemo mwengine Wenye uhalisia.Eti eti Wananchi ndio Maboss(waajiri) wa Viongozi.

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom