Tulitegemea Muswada mpya wa Sheria ya Usalama wa Taifa uwe na tija katika maswala ya kiuchumi ya Taifa

Mr Nyau

JF-Expert Member
Oct 18, 2018
1,128
2,338
Tulitegemea muswada mpya wa Sheria za TISS uwe na tija katika maswala ya kiuchumi kama taifa letu.

Kwa mtizamo wangu muswada huo umegusia zaidi katika kuwaongezea ulinzi viongozi wa Juu, tunaomba sheria ziwe chachu ya kulikomboa taifa letu kama vijana bado tunasafari ndefu sana ya kulijenga taifa letu je miaka ijayo Tanzania yetu itakuwa ya hali gani kama tukishindwa kutengeneza mifumo imara katika kuzuia mianya ya ubadilifu wa rasilimali zetu, kuandaa kizazi kitakachoenda na mabadiliko ya utandawazi kupitia Taasisi muhimu kama hii.

Chombo hiki kipewe mamlaka makubwa zaidi ya kulisaidia Taifa kama ilivyo kwa taasisi zenye mfanano huu kwa nchi nyingine jirani na zile zilizoendelea.

Screenshot_20230601-232731.png

Pia soma: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa unaoifanya iwe chini ya Usimamizi wa Rais watua Bungeni
 
Hii nadhani ni hawa viongozi wastaafu kujiwekea mazingira ya ulinzi wao na watoto zao siku za baadae maana kwa hali ilivyosasa raia hawana tena imani nao na kuna chuki kubwa sana ndani ya mioyo ya raia.
 
Tulitegemea muswada mpya wa Sheria za TISS uwe na Tija katika maswala ya kiuchumi kama taifa letu

Kwa mtizamo wangu muswada huo umegusia zaidi katika kuwaongezea ulinzi viongozi wa Juu, tunaomba sheria ziwe chachu ya kulikomboa taifa letu kama vijana bado tunasafari ndefu sana ya kulijenga taifa letu je miaka ijayo Tanzania yetu itakuwa ya hali gani kama tukishindwa kutengeneza mifumo imara katika kuzuia mianya ya ubadilifu wa rasilimali zetu, kuandaa kizazi kitakachoenda na mabadiliko ya utandawazi kupitia Taasisi muhimu kama hii..

Chombo hiki kipewe mamlaka makubwa zaidi ya kulisaidia Taifa kama ilivyo kwa taasisi zenye mfanano huu kwa nchi nyingine jirani na zile zilizoendelea..
TISS inapaswa kuwa na kitengo cha ujasusi wa kibepari au kiuchumi ili kuinusuru nchi yetu ila kutumika kisiasa inaangamiza taifa.
 
Tulitegemea muswada mpya wa Sheria za TISS uwe na Tija katika maswala ya kiuchumi kama taifa letu

Kwa mtizamo wangu muswada huo umegusia zaidi katika kuwaongezea ulinzi viongozi wa Juu, tunaomba sheria ziwe chachu ya kulikomboa taifa letu kama vijana bado tunasafari ndefu sana ya kulijenga taifa letu je miaka ijayo Tanzania yetu itakuwa ya hali gani kama tukishindwa kutengeneza mifumo imara katika kuzuia mianya ya ubadilifu wa rasilimali zetu, kuandaa kizazi kitakachoenda na mabadiliko ya utandawazi kupitia Taasisi muhimu kama hii..

Chombo hiki kipewe mamlaka makubwa zaidi ya kulisaidia Taifa kama ilivyo kwa taasisi zenye mfanano huu kwa nchi nyingine jirani na zile zilizoendelea..
Samia is consolidating power. ndivyo wazanzibari wanavyomwambia
 
Hii nadhani ni hawa viongozi wastaafu kujiwekea mazingira ya ulinzi wao na watoto zao siku za baadae maana kwa hali ilivyosasa raia hawana tena imani nao na kuna chuki kubwa sana ndani ya mioyo ya raia.
Umesema kweli, sahivi wanatengeneza mazingira ya kuwa salama baada ya kuibia wananchi
 
Tulitegemea muswada mpya wa Sheria za TISS uwe na tija katika maswala ya kiuchumi kama taifa letu.

Kwa mtizamo wangu muswada huo umegusia zaidi katika kuwaongezea ulinzi viongozi wa Juu, tunaomba sheria ziwe chachu ya kulikomboa taifa letu kama vijana bado tunasafari ndefu sana ya kulijenga taifa letu je miaka ijayo Tanzania yetu itakuwa ya hali gani kama tukishindwa kutengeneza mifumo imara katika kuzuia mianya ya ubadilifu wa rasilimali zetu, kuandaa kizazi kitakachoenda na mabadiliko ya utandawazi kupitia Taasisi muhimu kama hii.

Chombo hiki kipewe mamlaka makubwa zaidi ya kulisaidia Taifa kama ilivyo kwa taasisi zenye mfanano huu kwa nchi nyingine jirani na zile zilizoendelea.

View attachment 2642993

Pia soma: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa unaoifanya iwe chini ya Usimamizi wa Rais watua Bungeni
Usitarajie hilo kutoka kwa TISS hii tuliyonayo, kule hakuna mtu mwenye akili nzuri na za kutosha za kuweza kuibadilisha TISS ili iwe taasisi au injini ya kuendesha uchumi wa nchi (kufanya Economic Espionage) hakuna mtu au watu wa namna hii kule ndani. Cha kufanya kwa sasa ni "kuokoa nafsi yako tu", basi!!
 
Eti tiss walinde mitoto ya job ndugai pumbav kabisa

Badala yake na fikiri sheria iwalinde wafanyakazi wa TISS wote bila kubagua kutokana na utii wao kwa viongozi na kutekeleza maagizo/amri wanazopewa hata kama zitaleta sintofahamu mbeleni wakati aliye amrisha na kuagiza utendaji huo hayupo.

Pasitokea wala kuwepo muhanga wa TISS yetote eti kwasababu alitekeza kwa utii, uaminifu na nidhamu na kufanikisha alichotumwa na,Mkuu wake na kwa vile aliyemtuma hayuko basi walioko wamuhukumu au kumuumiza kwa vile hawakufurahishwa na kilichotekelezwa na muhusika ambaye alikuwa anatimiza najukumu yake kwa uaminifu..
 
Inasikitisha sana! Inabidi DGIS na SSH wasome kitabu cha ujasusi wa kidola na kiuchumi.
 
Tanzania kadri wasomi wanavyopewa mamlaka ndiyo upumbavu unajidhihirisha wazi wazi.
 
Badala yake na fikiri sheria iwalinde wafanyakazi wa TISS wote bila kubagua kutokana na utii wao kwa viongozi na kutekeleza maagizo/amri wanazopewa hata kama zitaleta sintofahamu mbeleni wakati aliye amrisha na kuagiza utendaji huo hayupo.

Pasitokea wala kuwepo muhanga wa TISS yetote eti kwasababu alitekeza kwa utii, uaminifu na nidhamu na kufanikisha alichotumwa na,Mkuu wake na kwa vile aliyemtuma hayuko basi walioko wamuhukumu au kumuumiza kwa vile hawakufurahishwa na kilichotekelezwa na muhusika ambaye alikuwa anatimiza najukumu yake kwa uaminifu..
Ukishakubali kufunga ndoa na Shetani, basi kubali na matunda yatakayopatikaa kutokana na ndoa hiyo. Endapo kama hutaki kuvuna matunda ya ndoa ya namna hiyo basi mapema kabisa kataa kufunga ndoa na shetani.
 
Back
Top Bottom