Kama CCM haitang'oka Watanzania tutakufa vibudu

Kama CCM haitang'oka Watanzania tutakufa vibudu

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
CCM wanaila nchi hii kama mchwa waliokula bakora ya Nabii Solomon.

Tukubali jina La CCM "Chukua chako Mapema" linaendelea kutumaliza kama ni kidonda basi CCM ni donda ndugu.

Ila Rais Samia usilazie damu ukizipata alimasi ziletee huku Zenji, unaona Mwinyi anavyotusifia wapemba "yajayo yanafurahisha".

Basi na hao machogo waambie mcheza kwao hutunzwa japo tushawachoka hatuvunji Muungano ng'oo.
 
Back
Top Bottom