Tanzania tuko vizuri kiuchumi kulinganisha na majirani zetu; VP Gachagua wa Kenya kasema Uchumi wao umetoka ICU sasa uko wodini

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,080
Uchumi wa Tanzania bado ni Imara Gharama za Kuendesha serikali ikiwemo Mishahara inalipika Bila shida tena kwa Wakati. Tatizo dogo liko kwenye miradi na hii iko hivyo duniani kote hadi Marekani.

Kwa mfano Kenya Waziri wao wa Fedha kawaambia zinakuja nyakati ngumu wajiandae Kwani Taasisi nyingi zinashindwa kulipa hata PAYE kutoka mishahara ya wafanyakazi, wanashindwa kulipa makati na michango ya Mifuko ya Jamii na hata ulipaji wa Pensheni unasuasua mno.

Tanzania tumshukuru Mungu wa mbinguni mzunguko wa Fedha haujatikisika

Ni hayo tu

Ahsanteni sana 😄
 
Uchumi wa Tanzania bado ni Imara Gharama za Kuendesha serikali ikiwemo Mishahara inalipika Bila shida tena kwa Wakati. Tatizo dogo liko Kwenye miradi na Hii iko hivyo duniani kote hadi Marekani

Kwa mfano Kenya Waziri wao wa Fedha kawaambia zinakuja nyakati ngumu wajiandae Kwani Taasisi nyingi zinashindwa kulipa hata PAYE kutoka mishahara ya wafanyakazi, wanashindwa kulipa makati na michango ya Mifuko ya Jamii na hata ulipaji wa Pensheni unasuasua mno

Tanzania tumshukuru Mungu wa mbinguni mzunguko wa Fedha haujatikisika

Ni Hayo tu

Ahsanteni sana
Katikakatika ya umeme kikiendelea,huenda kichwa Cha habari kikabadika na hali kuwa mbaya kuliko jirani
 
Attachments

  • 1702132535266.jpg
    1702132535266.jpg
    281.7 KB · Views: 2
Uchumi wa Tanzania bado ni Imara Gharama za Kuendesha serikali ikiwemo Mishahara inalipika Bila shida tena kwa Wakati. Tatizo dogo liko Kwenye miradi na Hii iko hivyo duniani kote hadi Marekani

Kwa mfano Kenya Waziri wao wa Fedha kawaambia zinakuja nyakati ngumu wajiandae Kwani Taasisi nyingi zinashindwa kulipa hata PAYE kutoka mishahara ya wafanyakazi, wanashindwa kulipa makati na michango ya Mifuko ya Jamii na hata ulipaji wa Pensheni unasuasua mno

Tanzania tumshukuru Mungu wa mbinguni mzunguko wa Fedha haujatikisika

Ni Hayo tu

Ahsanteni sana 😄
Magufuli alikuwa anatupeleka sio icu tu, bali jehanum kabisa, tumshukuru mungu kwa kuondosha dhahma na kutuletea lulu hii adhimu, mama Samia suluhu hassan, - mashallah!
 
Uchumi kuwa ICU au wodini unaelewa maana yake? Au huyu ndugu Gachagua Baye ni Rabbi?

Halafu nakushangaa maana mazombi wa dini ya muarabu huwa hamna utaifa wala uzalendo, kwamba muarabu anaweza akaichukua nchi... haya ndio huwa ya kwenu Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

Anyway hata hivyo poleni, imeanza kutumika hii poleni Marekani yachukizwa Israel kutumia white phosphorus, IDF yasema Wako Katika hatua za Mwisho kuifutilia mbali Hamas!
 
Uchumi wa Tanzania bado ni Imara Gharama za Kuendesha serikali ikiwemo Mishahara inalipika Bila shida tena kwa Wakati. Tatizo dogo liko Kwenye miradi na Hii iko hivyo duniani kote hadi Marekani.

Kwa mfano Kenya Waziri wao wa Fedha kawaambia zinakuja nyakati ngumu wajiandae Kwani Taasisi nyingi zinashindwa kulipa hata PAYE kutoka mishahara ya wafanyakazi, wanashindwa kulipa makati na michango ya Mifuko ya Jamii na hata ulipaji wa Pensheni unasuasua mno.

Tanzania tumshukuru Mungu wa mbinguni mzunguko wa Fedha haujatikisika

Ni Hayo tu

Ahsanteni sana 😄

View: https://twitter.com/africaupdates/status/1734378914909245918?t=CbeubO1ww1KJrnNvvYoR4Q&s=19
 
Halafu nakushangaa maana mazombi wa dini ya muarabu huwa hamna utaifa wala uzalendo, kwamba muarabu anaweza akaichukua nchi... haya ndio huwa ya kwenu Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

Anyway hata hivyo poleni, imeanza kutumika hii poleni Marekani yachukizwa Israel kutumia white phosphorus, IDF yasema Wako Katika hatua za Mwisho kuifutilia mbali Hamas!

Thibitisha au kanusha uzi wako huu kwanza:

Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

Kama huwezi kujadili nawe jambo ni kupoteza muda na bando!
 
Back
Top Bottom