Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa hatuyajadili tena. Sasa ni Feitoto, Yanga na Medali

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
16,146
33,503
Nchi ambayo raia wake wanasombwa na matukio kila yanapo ibuka ni rahisi sana kuiongoza.

Leo hii raia wamesahau muswada unaolenga kuleta mabadiliko kwenye aheria ya masuala ya USALAMA WA TAIFA.

Kila mtu sasa ni;
Yanga
Medali za wachezaji
Fainali
Tukio la kuitwa Ikulu
Mabishano yasiyo na tija n.k

Tutakumbuka shuka kumekucha.

Pia soma: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa unaoifanya iwe chini ya Usimamizi wa Rais watua Bungeni
Umechelewa kuwajua watanzania
 
Yaani FM radio hazina programs wanaenda matumizi tu zoote kabisa kweli suala nyeti kama hilo tumelitupaaa
 
Nchi ambayo raia wake wanasombwa na matukio kila yanapo ibuka ni rahisi sana kuiongoza.

Leo hii raia wamesahau muswada unaolenga kuleta mabadiliko kwenye aheria ya masuala ya USALAMA WA TAIFA.

Kila mtu sasa ni;
Yanga
Medali za wachezaji
Fainali
Tukio la kuitwa Ikulu
Mabishano yasiyo na tija n.k

Tutakumbuka shuka kumekucha.

Pia soma: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa unaoifanya iwe chini ya Usimamizi wa Rais watua Bungeni
Hata tuajadili namna gani mswada utapita tu la muhimu ni kuelimisha wananchi juu ya katiba mpya na kuwakataa wabunge wa ccm vinginevyo tunatwanga maji kwenye kinu tu.waelimishwe wananchi wa vijijini mabaya ya kuwa na wabunge wenye itikadi moja.
 
Nchi ambayo raia wake wanasombwa na matukio kila yanapo ibuka ni rahisi sana kuiongoza.

Leo hii raia wamesahau muswada unaolenga kuleta mabadiliko kwenye aheria ya masuala ya USALAMA WA TAIFA.

Kila mtu sasa ni;
Yanga
Medali za wachezaji
Fainali
Tukio la kuitwa Ikulu
Mabishano yasiyo na tija n.k

Tutakumbuka shuka kumekucha.

Pia soma: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa unaoifanya iwe chini ya Usimamizi wa Rais watua Bungeni
Kwa sasa wamesahau, labda watakumbuka tena na kuijadili Sheria hiyo mara tu watakapoanza kuona tena Wananchi wakianza kutekwa tena na "watu wasiojulikana," maiti za watu kuokotwa kandokando ya fukwe za baharii, mitoni, barabarani, au watu kuanza kushambuliwa kwa silaha nzito za kivita au watu kupotea ktk mazingira ya kutatanisha, n.k.
 
Back
Top Bottom