Sizioni tena mbwembwe za mawaziri sijui tatizo ni nini? Awesu, Jafo, Bashe, January mko wapi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,035
Nyakati Hizi za kuelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu ndio huwaga tunashuhudia mbwembwe na Vibweka lukuki kutoka kwa Mawaziri wetu huku wakishadadiwa na Mapambio ya CHAWA.

Nyakati Hizi ndio ile safari ya Monduli ilikuwa motomoto.

Mko Wapi Mawaziri wetu Vijana wadogo wadogo mbona kimya sana?
 
Mimi nilitaka tu kufahamu alipo yule kijana wako aliyeyekuja kwa spidi ya supersonic mara tu baada ya kula uteuzi kutoka kwa mwenyekiti wa chama.

Nakumbuka kwa mara ya mwisho nilimuona anaombewa na viongozi wa dini. Au Wazee wa chama wamemtuliza? Au tuamini kwenye ule methali/msemo wa mbio za sakafuni, huishia ukingoni?
 
Yupo Hapo Dr Salim Ahmed Salim kwa kozi maalumu
 
Hatuna mawaziri bali tuna machawa wa mama. Angalia hii kunguni
20231209_105134.jpg
 
Nyakati Hizi za kuelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu ndio huwaga tunashuhudia mbwembwe na Vibweka lukuki kutoka kwa Mawaziri wetu huku wakishadadiwa na Mapambio ya CHAWA.

Nyakati Hizi ndio ile safari ya Monduli ilikuwa motomoto.

Mko Wapi Mawaziri wetu Vijana wadogo wadogo mbona kimya sana?
Mchengerwa Mtu Kazi
IMG-20231212-WA0448.jpg
 
Mimi nilitaka tu kufahamu alipo yule kijana wako aliyeyekuja kwa spidi ya supersonic mara tu baada ya kula uteuzi kutoka kwa mwenyekiti wa chama.

Nakumbuka kwa mara ya mwisho nilimuona anaombewa na viongozi wa dini. Au Wazee wa chama wamemtuliza? Au tuamini kwenye ule methali/msemo wa mbio za sakafuni, huishia ukingoni?
unamaanisha D.A.B?

YESU NI MWOKOZI
 
Nyakati Hizi za kuelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu ndio huwaga tunashuhudia mbwembwe na Vibweka lukuki kutoka kwa Mawaziri wetu huku wakishadadiwa na Mapambio ya CHAWA.

Nyakati Hizi ndio ile safari ya Monduli ilikuwa motomoto.

Mko Wapi Mawaziri wetu Vijana wadogo wadogo mbona kimya sana?
Pumzi imekata na kikapuni mpunga hakuna
 
Nyakati Hizi za kuelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu ndio huwaga tunashuhudia mbwembwe na Vibweka lukuki kutoka kwa Mawaziri wetu huku wakishadadiwa na Mapambio ya CHAWA.

Nyakati Hizi ndio ile safari ya Monduli ilikuwa motomoto.

Mko Wapi Mawaziri wetu Vijana wadogo wadogo mbona kimya sana?
Wanajipanga na uchaguzi ujao.
Mwakani ndio utaona sarakasi, na vituko ambavyo hujawahi kuvisikia wala kuviona.
 
Projects nyingi zimegeuka white elephants au non-starter!Ukali Keisha! Uongozi si lelemama,unataka ueledi.Tumeishiwa Calibre ya statesman,nchi kugeuka kichwa cha mwenda wazimu Kila mtu kujifunzia kunyoa!
 
Back
Top Bottom