Nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum ni za Chadema kama chama, tuache kujilaanisha kwa mambo madogo madogo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,011
142,044
Hizo nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum ni stahiki ya Chadema kama chama

Ni vema Mpendwa katika Bwana Rais wa IPU na Spika wa bunge la JMT mh Dr Tulia Mwansasu PhD ukatufanyia wepesi Hili jambo lifike Mwisho lakini siyo kwa uweza Wako bali Mungu wa Mbinguni akusaidie

Nakutakia Happy New Year Dr Tulia PhD
 
Wanaacha alama ya kuvunja katiba waliyoiapa kuna siku tutawauliza kwanini mlifanya haya?
 
Hizo nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum ni stahiki ya Chadema kama chama

Ni vema Mpendwa katika Bwana Rais wa IPU na Spika wa bunge la JMT mh Dr Tulia Mwansasu PhD ukatufanyia wepesi Hili jambo lifike Mwisho lakini siyo kwa uweza Wako bali Mungu wa Mbinguni akusaidie

Nakutakia Happy New Year Dr Tulia PhD
Inafaa tume amtaarufu huyo bi kiroboto atangaze nafasi wazi...mawape chadema walete wabunge wengine....
 
Serikali ya CCM inaona kuwa ndiyo yenye stahiki ya kuwachagulia CDM aina ya wawakilishi ambao inaona wanafaa. Kama haitoshi kwa mhimili wa serikali kujichimbia ndani ya mihimili ya mahakama na bunge, bado wana tamaa ya kujichimbia zaidi ndani ya vyama makini vya upinzani.

Kizazi kijacho kitakuja kuishangaa mno maamuzi ya CCM ya nyakati za hivi karibuni, sawa kabisa kizazi cha sasa kinavyoshangazwa na maamuzi aliyoyafanya mfalme Mangungo wa Msovero. Ijapokuwa yeye kwa wakati wake hakuwa na washauri wabobevu na manguli wa mambo ya kisheria, lakini hawa wa sasa wana kila kitu lakini bado ni manunda wa kutupwa.
 
Kwani huyo Halima mdee ni mbunge ambaye siku zote anaunga mkono ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali na anapiga vita wenye kula mali ya uma sasa yeye hilo halioni!
 
Happy New Year
Hiki ndicho kiwango cha utawala bora (good governance) ambacho wenzetu hawa wa sasa wanajivunia. Wengine wanapewa PHD za heshima. Ndiyo wale ambao mishipa ya aibu Mwenyezi Mungu aliwanyima. Binafsi sasa hivi nimeacha hata kudai haki yo yote Serikalini maana kama haki dhahiri, hata za maisha ya mtu hazilindwi au kutetewa haki inayohitaji ufafanuzi na wa kufafanua ni chawa itapatikaje? Waelewa wengi wala siyo wana Chadema ndivyo tunavyoona au ndiyo perception tuliyonayo!
 
Back
Top Bottom