Walinda legasi wa "shujaa" wamekula kiapo cha undugu? Watu wao hawana baya!

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,620
46,261
Kuna Balozi anayejifanyia mambo tofauti na mila, desturi na nidhamu. Anaingia hadi mitaani mwenyewe kibinafsi kuleta siha njema. Walinda legasi wanapiga makofi, wanasema kufuata protokali ni urasimu.

Kuna msemaji na spika ya chama ambaye anawaamuru na kutoa maagizo kwa wenye mamlaka juu ya watu wote na anashangiliwa sana na walinda legasi, wanasema huko ndiko kutatua kero, kila hatua anayopiga anashangiliwa nao na kuitwa mbunifu.

Pacha aliyewekwa kuondoa giza ndio kwanza giza limezidi ila hakuna miongoni mwa walinda legasi anayedai kuwajibishwa kwake au hata kuuliza lolote. Wanadai Kipara ndiye aendelee kuwajibishwa hata kama hayupo tena! Mpaka lini, sina uhakika.
 
Kipara ameacha harufu mbaya sna pale Tanesco kameharibu kakavuruga kakaingia mikataba feki haka ka mtu katapeli Sana ety na kenyewee kanataka Urais Labda Urais wa wezi majambazi maporaji na matapeli
kipara analipa watu kuwachafua watu wenye misimamo ya kimagufuli kameshindwa ndio maana na wewe ni kundi lake
kuhusu Polepole anafanya kazi yake kama balozi kwani mnamuonea wivu ili iweje na Makonda wanachapa kazi kwelikwelli watu wenu wameshindwa kumsaidia Rais wamebaki kuruka ruka tu
 
Miradi mingi ya JPM aliiacha ikiwa asilimia 10 au 5, ni SSH ndiye kaijenga kafikisha asilimia mpaka 98. Bwawa la umeme, daraja la Busisi, na sasa analeta vichwa vya treni vya SGR
 
Kuna Balozi anayejifanyia mambo tofauti na mila, desturi na nidhamu. Anaingia hadi mitaani mwenyewe kibinafsi kuleta siha njema. Walinda legasi wanapiga makofi, wanasema kufuata protokali ni urasimu.

Kuna msemaji na spika ya chama ambaye anawaamuru na kutoa maagizo kwa wenye mamlaka juu ya watu wote na anashangiliwa sana na walinda legasi, wanasema huko ndiko kutatua kero, kila hatua anayopiga anashangiliwa nao na kuitwa mbunifu.

Pacha aliyewekwa kuondoa giza ndio kwanza giza limezidi ila hakuna miongoni mwa walinda legasi anayedai kuwajibishwa kwake au hata kuuliza lolote. Wanadai Kipara ndiye aendelee kuwajibishwa hata kama hayupo tena! Mpaka lini, sina uhakika.
Uhalibifu aloufanya kipara si wa kitoto, kaharibu almost miaka mitatu unataka pacha atatue kwa miezi mitatu?

Wewe ni Pathetic!
 
Kuna Balozi anayejifanyia mambo tofauti na mila, desturi na nidhamu. Anaingia hadi mitaani mwenyewe kibinafsi kuleta siha njema. Walinda legasi wanapiga makofi, wanasema kufuata protokali ni urasimu.

Kuna msemaji na spika ya chama ambaye anawaamuru na kutoa maagizo kwa wenye mamlaka juu ya watu wote na anashangiliwa sana na walinda legasi, wanasema huko ndiko kutatua kero, kila hatua anayopiga anashangiliwa nao na kuitwa mbunifu.

Pacha aliyewekwa kuondoa giza ndio kwanza giza limezidi ila hakuna miongoni mwa walinda legasi anayedai kuwajibishwa kwake au hata kuuliza lolote. Wanadai Kipara ndiye aendelee kuwajibishwa hata kama hayupo tena! Mpaka lini, sina uhakika.
Wewe ungekuwa na Ndugu yako anaumwa ayo maradhi aliyosema Polepole,usingepiga namba aliyotoa ili upate msaada?Ungetaka ufuate protocol za Wizara ya Afya kumpeleka Ndugu yako Cuba? kwani tumekuwa na Mabalozi wangapi Cuba na ni yupi aliwai kuleta taarifa kama za Polepole?
Punguzeni unafiki na upumbavu,kutokumpenda kwako Magufuli hakuondoi ukweli kuwa ndiyo Rais aliyependwa na Watanzania wengi baada ya Mwalimu Nyerere!
Sasa ngoja tusubiri afe uyo Mungu wenu wa Msoga,tuone kama Watanzania wanampenda,na anguko lake linasubiriwa kwa hamu kubwa mtaani!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Polepole awaelekeze wa Cuba jinsi ya kufanya marketing ya hizo dawa na huduma zao kwa pamoja na wauza madawa ya kisasa na mitishamba waliopo Tanzania.
Sio kazi ya balozi kupigia kampeni dawa za nchi fulani, labda kama anafanya yeye kama mtu binafsi na sio kwa niaba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Kuna Balozi anayejifanyia mambo tofauti na mila, desturi na nidhamu. Anaingia hadi mitaani mwenyewe kibinafsi kuleta siha njema. Walinda legasi wanapiga makofi, wanasema kufuata protokali ni urasimu.

Kuna msemaji na spika ya chama ambaye anawaamuru na kutoa maagizo kwa wenye mamlaka juu ya watu wote na anashangiliwa sana na walinda legasi, wanasema huko ndiko kutatua kero, kila hatua anayopiga anashangiliwa nao na kuitwa mbunifu.

Pacha aliyewekwa kuondoa giza ndio kwanza giza limezidi ila hakuna miongoni mwa walinda legasi anayedai kuwajibishwa kwake au hata kuuliza lolote. Wanadai Kipara ndiye aendelee kuwajibishwa hata kama hayupo tena! Mpaka lini, sina uhakika.
Upumbamvu wako leo uko kiwango cha juu zaidi,inabidi wakuwahishe kwa hospital.
 
Kuna Balozi anayejifanyia mambo tofauti na mila, desturi na nidhamu. Anaingia hadi mitaani mwenyewe kibinafsi kuleta siha njema. Walinda legasi wanapiga makofi, wanasema kufuata protokali ni urasimu.

Kuna msemaji na spika ya chama ambaye anawaamuru na kutoa maagizo kwa wenye mamlaka juu ya watu wote na anashangiliwa sana na walinda legasi, wanasema huko ndiko kutatua kero, kila hatua anayopiga anashangiliwa nao na kuitwa mbunifu.

Pacha aliyewekwa kuondoa giza ndio kwanza giza limezidi ila hakuna miongoni mwa walinda legasi anayedai kuwajibishwa kwake au hata kuuliza lolote. Wanadai Kipara ndiye aendelee kuwajibishwa hata kama hayupo tena! Mpaka lini, sina uhakika.
Ma+vi mleta uzi
 
Kwamba ukila rushwa na kulemaza mifumo uachwe tu K2 sababu haupo?

Wewe CHAWA wa Wahuni endelea na chuki zako lakini tambua TU kwamba huyo balozi usiyempenda ndo balozi Bora kabisa kuwahi kutokea.

Huyo Mwenezi aliyewahi kuwapoteza wauza ngada Leo ndo tegemeo chamani. Hutaki kafie mbele.

Mwamba kasimama tu pale tayari na dawa za kulevya zimeanza kudakwa!!

Ufia dini tu ndo unakusumbua wewe mpuuzi. Habu tutajie majina ya waliodakwa na ngada kama siyo nduguzo
 
Polepole awaelekeze wa Cuba jinsi ya kufanya marketing ya hizo dawa na huduma zao kwa pamoja na wauza madawa ya kisasa na mitishamba waliopo Tanzania.
Sio kazi ya balozi kupigia kampeni dawa za nchi fulani, labda kama anafanya yeye kama mtu binafsi na sio kwa niaba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kazi ya Balozi ni nini kaka mmarekani?
 
Huyo hakupanda chochote, the winner is the one who writes history, mama ndiye ameshinda kwa kukamilisha miradi, yeye ndiye ataandika historia ya kila kitu

Kwa upande wangu, kila mtu ana nafasi yake. Licha ya kuwa kuna mmoja alikuwa na uthubutu zaidi.
 
Back
Top Bottom