Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,341
- 289,369
Hii ndio taarifa mpya ya leo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Addo Shaibu, kwamba chama chake kimetambua ukweli kwamba watu hao wanaoitwa Wabunge wa Viti Maalum hawana chama wanachokiwakilisha ndani ya Bunge au popote pale.
Kwahiyo ACT imeamua kutumia ubinadamu kuwasitiri watu hao ili kuficha aibu inayowakabili.
Kwahiyo ACT imeamua kutumia ubinadamu kuwasitiri watu hao ili kuficha aibu inayowakabili.