Matunda ya Royal Tour yavutia watanzania kutembelea Mbuga za wanyama, Heche mbunge ya Tarime amaliza mwaka mbugani

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,662
John Heche ametutakia watanzania heri ya mwaka mpya akiwa katika mbuga za wanyama akifanya utalii wa ndani. Hakika hii ni faraja kubwa sana kwamba sasa utalii wa ndani umevutia watu wengi, hasa baada ya Mh. Rais Samia kuhamasisha kupitia Royal Tour.
1704033917667.png
 
Safi Sana, huu ndio uzalendo!, watu wanazidi kupata utambuzi na kuamka akili, si kila jambo nila kususia,au kuona ni baya.
 
Back
Top Bottom