I. Utangulizi
Tayari Muswada wa Bima ya afya kwa wote uliopitishwa bungeni mwezi Novemba umetiwa saini na Rais na kuwa sheria rasmi (imeambatanishwa). Bado tunasubiri kkwa hamu kanuni na taratibu...
Polepole akiwa katika mahojiano na Jenerali Ulimwengu mojawapo ya mambo aliyoisifia Cuba ni upangaji miji kwa ustadi mkubwa sana. Anasema mitaa Cuba imepangwa vizuri sana kiasi kwamba unaweza...
Ndugu zangu Watanzania napendekeza Wazungu wagombee nafasi ya Urais ili watuletee maendeleo,tumeona katika shughuli za kimaendeleo tumewapa bandari ndugu zetu DP World,tumefanikiwa, Tanesco napo...
Zipo dalili kwamba wanasiasa wenye misuli watatumia sana mbinu chafu kupunguza kasi wapinzania wao. Zipo dalili zote kwamba watu wenye fedha hasa wafanyabiashara watasumbuliwa na kulazimika...
Hawa niliowataja ni baadhi ya watanzania waliosoma kwa tabu, wakafanya kazi za umma kwa tabu kisha wakateuliwa kukaa mezani na mfalme
Wakiwa wanahudumu kwa mfalme wakadhani mfalme ndo kila kitu...
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia hivi punde.
Toa Maoni yako
======
Mhariri wa Takwimu wa kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Halili Letea amesema ripoti ya Shirika la fedha...
Hiyo lugha itadhihirika zaidi nyakati za uchaguzi 2025
Rais anao mawaziri wengi, ila kati ya hao, wengi hawamtaki ila kwa sababu ya desturina mila zetu za kiafrika, mtu hutakiwi kumpinga...
Kama raia mwema na mzalendo na mpenda taifa hili la Tanzania, ipo haja ya dhati kabisa kuuimarisha muungano wetu ikiwepo kuondoa dosari zote zilizopo au zinazokinza muungano huu ili kila upande wa...
Kitila Mkumbo jimbo hakiendeshwi kwa utafiti linaendeshwa kwa kupeleka maendeleo. Wananchi wamekupa dhamana unatakiwa kuwaeleza umefanya nini siyo kufanya utafiti kama mtangulizi wako alikuwa...
Mwaka huu uoga, haya, staha na kila aina ya ustaarabu katika kumsema Rais Samia Suluhu utaisha na mama atamaliza mwaka huu akiwa hoi kisiasa.
Mwaka huu ndio mwaka wa kila mtaka Urais kujitokeza...
Hebu fanya tathmini yako uone kama atatoboa .
Huyu anaishi kwenye Nchi ambayo DED tu anatumia V8 , huku Mawaziri magari yao yakiwa ya bei mbaya hadi kuzidi Tsh mil 600
Kidogo nimeshangazwa na habari inayotembea mtandaoni, mtumishi wa wizara ya ardhi anadai kununua ardhi, ardhi ikawa na mgongano na mtu mwingine, je hii ni sababu ya kumsimamisha kazi? Kwamba...
KAMA HUJUMA ZA KAMPUNI YA NAS DAR AIRCO ZINGELIKOMESHWA MAPEMA NA WATENDAJI KUEAJIBIKA YALIYO TOKEA YASINGEENDELEA KUTOKEA
Salam wakuu,
Naandika haya kama mzalendo ninayetamani kuona mabadiliko...
Kuna kipindi akiwa Mwanza uwanja wa furahisha. Alitamka wazi kuwa yeye ni mwanachama wa CCM
Leo hii ametamka hadharani kuwa anafanya kazi za rais Samia.
Kwa hiyo ninyi Wanachadema mtambue kuwa...
Taarifa ya sensa ya watu na makazi, kwa kiasi kikubwa, inatoa taarifa za "saiti" kukoje. Kaya, mtaa, Kata, Tarafa, Wilaya, Mkoa. Mwanasiasa akifanikiwa kuzichimba na kuzishika takwimu za sensa...
Umoja uliopo miongoni mwa Lema, mke wake na watoto ni wakuigwa. Wamelelewa kiimani, wanaishi kwa haki na awajawahi kuacha kutafuta kesho iliyo bora kwao na kwa wengine.
Ni familia bora kwa mwaka...
CHAMA CHA WALIMU KIFUTWE!
Ningependa kuona Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kinafutiliwa mbali kabisa kwani kimeshindwa kuondoa ama kupunguza matatizo yanayowakabili walimu. Chama hiki kimeshindwa...
Nakumbuka DPW baada ya vuta nikuvute walisaini mkataba wa kuanza kazi. Swali langu. Je wameishaanza kazi?. Kama wameanza kazi wametulipa dollar ngapi?. Na kama bado kuna tatizo gani?.
Habari imesambaa Duniani kwamba kuna mamba mkubwa mwenye umri wa takribani miaka mia moja ameawa Tanzania. Wamehojiwa wamesema wanafanya uchunguzi.
Kuna uwezekano mgeni akaingia nchini na kufanya...