Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,106
Kitila Mkumbo jimbo hakiendeshwi kwa utafiti linaendeshwa kwa kupeleka maendeleo. Wananchi wamekupa dhamana unatakiwa kuwaeleza umefanya nini siyo kufanya utafiti kama mtangulizi wako alikuwa anaonekana jimboni.
Wananchi wanataka maendeleo na siyo kumwona Mbunge . Pili, nani alikutuma ukafanye utafiti kuhusu mtangulizi wako? Respondents walikuwa wakina nani?
Unasema kwa mijini wa utafiti wananchi wanataka barabara, wakati unagombea uliwaambia wana ubungo unaomba kura ukafanye utafiti? Achana na siasa za darasani peleka maendeleo uliyojinadi kupeleka kwa wananchi.
Tulitegemea ukazungumze na wananchi kwenye mikutano ya adhara ila unajua hakuna anayejitokeza huko jimboni kwako. Hata ufanye nini ni vigumu kushinda ubunge, kama ilipozaliwa hakuna anayekuhitaji unategemea ukawadanganye wa mjini .....ulipaswa kupeleka maendeleo jimboni now time is out umeanza kulalamikia utafiti...