WanaCHADEMA mmeanza mwaka vibaya, Mbowe amejinasibu hadharani kuwa anaongoza kundi la CCM B huku ninyi mkijifanya hamjui hilo.

Ungeweka video,washuhudie wao wenyewe akisema'anaongoza CCM B... '
Naamini wewe siyo punguani,ulete taarifa pasipokua na kithibitisho,itakua ulisahau ku-upload video tu.
Upload waione.
 
Naunga Mkono hoja. Ile nyumbani ni ya gharama sana.
===
Chanzo cha habari? Alikuwa wapi na saa ngapi wakati anasema haya?
 
Kuna kipindi akiwa Mwanza uwanja wa furahisha. Alitamka wazi kuwa yeye ni mwanachama wa CCM

Leo hii ametamka hadharani kuwa anafanya kazi za rais Samia.

Kwa hiyo ninyi Wanachadema mtambue kuwa nyie ni wanaCCM na mnatekeleza ilani ya CCM.
Uzuri hoja zimewaishia wana matusiiii!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom