Nashauri nafasi ya Urais tumpe Mzungu ili atuletee maendeleo

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
Ndugu zangu Watanzania napendekeza Wazungu wagombee nafasi ya Urais ili watuletee maendeleo,tumeona katika shughuli za kimaendeleo tumewapa bandari ndugu zetu DP World,tumefanikiwa, Tanesco napo panasua sua tumwongezee DP World aweze kuleta Umeme wa uhakika wakikataa tuwaite tena Net Solution ili watuendeshee shirika letu la Umeme,bado tuna idara nyingi pia zimedorora kama idara za maji zote za mijini na vijijini nchi nzima kama nyongeza,baada ya hapo wapewe na hospitali/zahanati/vituo vya afya vyote nchi nzima kama bonus ila nimeona tunazunguka bure tufanye kama walivyofanya Zimbabwe,wamewaita tena Wazungu waje walime kwenye mashamba makubwa plantations maana Wazimbabwe hawawezi kulima,Wazungu wameitikia wito wamekuja na wameanza kulima, Zimbabwe imeanza kuwa ya kijani badala ya jangwa,kwa nini sisi Watanzania tusiwaite Wazungu waje wagombee urais na chawa wawapigie kampeni washinde urais na nchi yetu iongozwe tena na mzungu,tuanze kula nyama za kwenye kopo,tufufue kile kiwanda cha Tanganyika Packers, tufufue Ceramic kiwanda cha vyombo vya Udongo pale Morogoro,Tufufue viwanda vya nguo Polyester na Mwatex,Viwanda vya kutengeneza magari aina ya Nyumbu,viwanda vya kutengeneza viatu kama Moro Shoes,Wazungu walete ofisi zao kubwa kubwa za UN na NGO's makubwa tuongee kiingereza kama Kenya,hatutaongea kiswahili tutaongea kiingereza,mnaonaje Watanzania!?
 
Nchi hujengwa na wananchi wote katika nchi husika. Usitegemee kujengewa nchi yako na watu wengine.
 
Mzungu!? Hii nchi kuna raia wazungu kama zimbambwe? Wako wapi hao raia wa tanzania wazungu tuwape uongozi wa nchi?
 
Ndugu zangu Watanzania napendekeza Wazungu wagombee nafasi ya Urais ili watuletee maendeleo,tumeona katika shughuli za kimaendeleo tumewapa bandari ndugu zetu DP World,tumefanikiwa, Tanesco napo panasua sua tumwongezee DP World aweze kuleta Umeme wa uhakika wakikataa tuwaite tena Net Solution ili watuendeshee shirika letu la Umeme,bado tuna idara nyingi pia zimedorora kama idara za maji zote za mijini na vijijini nchi nzima kama nyongeza,baada ya hapo wapewe na hospitali/zahanati/vituo vya afya vyote nchi nzima kama bonus ila nimeona tunazunguka bure tufanye kama walivyofanya Zimbabwe,wamewaita tena Wazungu waje walime kwenye mashamba makubwa plantations maana Wazimbabwe hawawezi kulima,Wazungu wameitikia wito wamekuja na wameanza kulima, Zimbabwe imeanza kuwa ya kijani badala ya jangwa,kwa nini sisi Watanzania tusiwaite Wazungu waje wagombee urais na chawa wawapigie kampeni washinde urais na nchi yetu iongozwe tena na mzungu,tuanze kula nyama za kwenye kopo,tufufue kile kiwanda cha Tanganyika Packers, tufufue Ceramic kiwanda cha vyombo vya Udongo pale Morogoro,Tufufue viwanda vya nguo Polyester na Mwatex,Viwanda vya kutengeneza magari aina ya Nyumbu,viwanda vya kutengeneza viatu kama Moro Shoes,Wazungu walete ofisi zao kubwa kubwa za UN na NGO's makubwa tuongee kiingereza kama Kenya,hatutaongea kiswahili tutaongea kiingereza,mnaonaje Watanzania!?
Mzungu nani mtaje jina maana ni wengi bongo zozo,dejan wa simba au mzungu kichaa!
 
We katibiwe kwanza Mirembe ndio uje kuandika post km mtu mzima, sahivi unaumwa
 
Ndugu zangu Watanzania napendekeza Wazungu wagombee nafasi ya Urais ili watuletee maendeleo
Naona hata Afrika Kusini wapo mbioni kurejesha wazungu kiti cha Urais...... chama kikuu cha upinzani huko ni DA ambacho ni cha makaburu. Yaani wazungu wanakura nyingi kuliko Malema na wana wabunge na mameya wa kumwaga
 
...mfano mzuri Mr.Scott (rip),ndiye mzungu aliyeiletea heshima sarafu ya zambia (kwacha )na alitawala less than 9mths,Leo hapa tunduma unahitaji 110ths ili upate 1 zambian kwacha, noti ya juu kabisa ni 100,Tanzania tuna 10,000 na kuna wapumbavu humu wanataka noti ya 100,000,welcome to Zimbos
 
Yes mkuu,nilibahatika kutembelea cape town (DA)na Joberg under ANC,
yaani ni tofauti ya maji na mafuta, watu weusi ni washenzi sana. Job
Naona hata Afrika Kusini wapo mbioni kurejesha wazungu kiti cha Urais...... chama kikuu cha upinzani huko ni DA ambacho ni cha makaburu. Yaani wazungu wanakura nyingi kuliko Malema na wana wabunge na mameya wa kumwaga
 
Huu ni ukweli ambao wengi hatupendi kuusikia.... cha ajabu huko western cape wakipewa ANC au EFF utashangaa umaskini mkubwa unaingia huko.
Exactly mkuu,watch out kwa uchaguzi wa mwakani ANC itakwenda kupata below 50%,na hii itafungua ukurasa mpya wa coalitions government, black peoples ni washenzi, greedy, corrupted, why our politicians wanataka kuwa na nyumba kila mkoa,gari 5 za kifahari!!,DED wa Rujewa ana V8 ya more than 400M,ila Halmashauri yake haina hata fire engine moja!!,hivi akitembelea gari ya 100M,atapungukiwa na nini?,300M unapata good second hand fire engine
 
Back
Top Bottom