Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama ulikuwa hujui basi nakujuza Rasmi kwamba , Chadema haisubiri mwaka upauke, tayari wameanza kwa kasi mipango yao. Wanachonifurahisha ni kwamba, hawana kiherehere na Mgombea urais wa 2025...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Kama mtakuwa mnafuatilia ndugu zetu wamiliki wa bajaji na madereva wameanza kujipanga kupandisha nauli mara dufu katika maeneo mbalimbali wanayofanya vizuri ikiwemo Mwanza. Aidha, inadaiwa tozo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
NI wazi kwamba Samia Suluhu Hassan alirithi kiti cha urais baada ya Hayati Magufuli kufariki dunia huyu ndiye aliyepitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu na vikao vya chama hadi akawa rais. Kinana...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Kassim Majaliwa ulijijengea heshima yako kwa muda mrefu Sana ukaonekana ni mtu usiyekuwa masihara na hauna utani lakini naona unaanza kuambatana na kundi lisilo na mvuto nakuhakikishia heshima...
1 Reactions
2 Replies
656 Views
Wanabodi, Moja ya udhaifu mkubwa wa media yetu nchini Tanzania, ni uwezo duni kufanya analysis, ili kuzisaidia ngazi za uteuzi za CCM kututeulia Spika Bora. Spika Job Ndugai, hakuwahi kuwa Spika...
25 Reactions
70 Replies
10K Views
CHADEMA wameona haina haja ya kusubiri mawe yaseme, wanasema wenyewe, ilikuwa Mbowe, sasa ni zamu ya Salum Mwalimu. Kuliko abane kikohozi kimpalie, kaona bora aseme. Kiongozi huyu wa ngazi ya...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi. Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais. Hata...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Wanaoshauri timu moja itolewe wanajaribu kueleza na kumpa taarifa Rais kuwa hakubaliki. Au tuseme wanajaribu kumtisha Rais kuwa kwa hali ilivyo hakubaliki. Katika lugha za...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Nauliza tu kwa wabobevu wa siasa je, 2025 Mh. Waziri Mkuu atagombea tena Ubunge? Na kama atagombea na Mh .Rais akamteua mtu mwingine kuwa Waziri Mkuu, hadhi yake itakuwaje Bungeni?
2 Reactions
14 Replies
2K Views
RC FATMA MWASSA: TUPAMBANE KUREJESHA UBORA WA ELIMU KAGERA Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa amewataka wananchi wa mkoa huo kuungana kwa pamoja kurejesha kiwango cha ufaulu katika mkoa...
0 Reactions
1 Replies
640 Views
Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Bunge Sera na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amepongeza juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya nane ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuboresha mazingira ya...
0 Reactions
1 Replies
571 Views
Lazaro Nyalandu, Mwanaccm wa kwanza kujivua Ubunge kwa sababu ya kupinga Udikteta wa Magufuli wa kuteka, kutesa na kushambulia watu kwa risasi, ambaye baadaye alikimbilia CHADEMA na kupokelewa kwa...
23 Reactions
60 Replies
7K Views
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo, amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makando kando na kujenga mshikamano kuakikisha CCM inashika dola. MNEC...
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kwa kipindi kifupi kijacho Serikali itaanza kuweka mawe ya msingi ujenzi wa nyumba za wafanyakazi katika...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohamed Mussa amesema Mradi wa Ofisi Katika kikosi Cha KMKM Wete utasaidia katika kuimarisha ulinzi na usalama katika Eneo Hilo. Mhe. Lela...
0 Reactions
3 Replies
589 Views
Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni Toa maoni yako
26 Reactions
110 Replies
6K Views
Najiuliza sana hili swali ni nani alikuwa Daktari wa Rais Magufuli kipindi yupo Madarakani. Na alimpata wapi? Au alipendekezewa na nani?
15 Reactions
125 Replies
22K Views
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba...
9 Reactions
103 Replies
13K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…