Kwa kawaida Kiongozi wa serikali akitembelea jimbo basi Mbunge na madiwani ndio huwa wenyeji wake
Mbunge asipokuwepo basi Katibu wa mbunge ndio atatoa salamu za Mbunge kwa mgeni na kwa Wananchi...
Wadau wengi kama mimi tuna amini kwamba kupigania demokrasia ni kupigania maendeleo. Ni lazima tujue kwamba demokrasia nzuri inaendana na katiba nzuri, bunge la ushindani, Uraisi wa ushindani na...
Kinana amesema uwongo kuwa eti CCM imekuwa na utaratibu wa kutoruhusu kuwepo na ushindani ndani ya CCM wa kumpata mgombea wa chama kwenye kiti cha Urais pale ambapo Rais aliyepo madarakani...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza na wafanyabiashara wa Ukonga, aliwaambia wananchi hao kuwa wanasalimiwa na Mbunge wao, ambaye pia ni waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, lakini...
Kumekuwepo na kelele za mda mrefu za uhuru wa tume ya uchaguzi. mambo yanayoguswa ni :-
inavyoundwa
watumishi wake
Kwa mswada uliopelekwa bungeni na inavyopendekezwa inalekea suala la namna...
Hili ni jambo muhimu sana ambalo wana JF mnapaswa kulifahamu, kwamba ruzuku ya vyama vya siasa hutolewa kutokana na Kura za Jumla ambazo Chama kimepata kutoka kwenye Uchaguzi Mkuu husika.
Kwa...
Chawa hupenda kukaa sehemu chafu Sana na huzaliana kwa wingi na hufyonza damu na kiumbe kudhoofika. Hivyo chawa sehemu Safi hawapendi kwani chawa NI adui wa usafi.
Hapa namkumbusha mama...
RUZUKU YA VYAMA VYA SIASA.
utaratibu wake.
anachambua:Joseph Mshinga.
MAKUNDI YA RUZUKU ZA VYAMA.
ruzuku za vyama zipo katima makundi mawili.
1.Ruzuku inayotokana na Serikali ya...
Nikiwa barabarani naendesha gari, Siti yangu ya mbele alikaa mjukuu wangu wa miaka 11. Mbele yetu kulikuwa na gari Ina namba za Zanzibar kwenye number plate yenye bendera ya Zanzibar. Mjukuu...
1.Futa ubunge wa viti maalum na ubunge wa kuteuliwa. Futa pia posho za wabunge wanapokuwa bungeni.
2.Ondoa matumizi ya magari ya Vietee na tumia magari ya gharama nafuu. Pia dhibiti ziara za...
Iwekwe katika katiba kila wananchi laki 2 wawakilishwe na mbunge mmoja.
Viti maalum vifutwe
Ubunge wa kuteuliwa ufutwe
Wagombea binafsi waruhusiwe
Mbunge akihama chama, akijiuzulu, akifariki au...
Mimi naomba kushangaa, nchi inapokua uchumi wa chini ni heri kujitahidi kuzuia mianya ya ufujaji na upotevu mkubwa wa pesa za serikali.
Licha ya kwamba bunge la Tanzania lina wabunge wengi...
Inasikitisha sana kuona nchi masikini kama hii bado inafuja hela za umma kwa kasi ya ajabu, nchi fukara isiyojiweza Vyeo hewa vimejazana mfano hai ni wabunge wa viti maalumu na wabunge wa...
Ndugu wana JF,
Wakati tunaangalia kulia na kushoto ili kuifanya nchi yetu ipate viongozi yule ambaye kila mtu anamtaka , naona bado natatizwa na hiki kitu kinachoitwa ruzuku!
Ni kweli ruzuku...
Kwa nchii masikini kama Tanzania tunahaha kupataa ambulance. Ya million 80-100 alafu chama kimoja kinapata zaidi ya mil 200+ HII n laana kubwa sana
Hatakama hizopesa zinatoka marekani MH Rais...
KATIKA KIPINDI KIGUMU KWA WATANZANIA WENZETU WALIOPATWA NA MAAFA BUKOBA, NAVISHAURI VYAMA VYA SIASA ,
1 CCM,
2,CHADEMA
3, CUF
4, ACT
NA VIGINE VIDOGO,
BADALA YA KUTUMIA TUKIO ILI NA VIFO VYA...
Kuna Madai ya Mbunge wa Jimbo la Busega bwana Simoni Songe hivi karibuni mwezi December mwaka 2023 aliwaita wajumbe wa CCM 800 na kuwahonga kila mmoja elfu thelathini alitumia kama million25...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha
Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa...
Wadau nawasabahi.
Kama kichwa cha habari kilivyo.
Je, ni kweli BUNGE hili lina uwezo wa kuisimamia na kuiwajibisha Serikali pindi ikibidi wakati huo huo serikali ndiyo inayowalipa mishahara...
Binafsi nilishangaa sana kumsikia Komredi Kinana akizungumza suala la Fomu Moja kana kwamba ndio anatoa Mwongozo
CCM kupitia mkutano mkuu wa taifa ilishamchagua kwa Kura Dr Samia kuwa Rais wa JMT...