OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI KUTUMIA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA MASHAURI WA MAHAKAMA KUU
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) imeanza kutumia Mfumo wa Mashauri wa Mahakama wa Kieletroniki...
..Hicho ndicho alichokutana nacho Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika alipokwenda Bungeni kuwasilisha mapendekezo ya chama chake.
..Msikilize hapa chini akieleza kilichomtokea alipofika Bungeni...
Kuna kijana mmoja, mwembamba hivi ni mwalimu wa Mwalimu Nyerere memorial kama sikosei, huwa anapenda sana kuchambua mambo ya Urusi, na Palestina. huyu kijana ni mdini na amekuwa akisambaza sumu...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Ndg. Paul...
Hakika nichukue nafasi hii kumpongeza WAZIRI MKUU Mh.MAJALIWA na Kamati nzima ya Uhamasishaji wa HARAMBEE ya kuzichangia Timu zetu za Mpira na kufanikiwa kukusanya Kiasi cha Tsh.BIL.3.7.
Pia...
Ndivyo inavyofanyika duniani kote hata hapo Kenya
Kwa sasa hapa Nchini Wanasheria wenye ubobezi kivitendo kwenye Siasa za Uchaguzi ni Tundu Antipas Lisu na Peter Kibatala hivyo Serikali isione...
Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge, akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu...
Wamo Mabalozi, Wastaafu, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Vijana Chipukizi.
Kufuatia Katibu Mkuu Daniel Chongolo kuachia ngazi, wimbi la kupata Mrithi limezidi kuongezeka Mtaani huko Dar es Salaam...
Mfululizo wa kubomoa kuharibu masoko stendi na sehemu zingine za kazi umekuwa kwa kasi sana hapa tunduma. Hatukatai kuboresha mji lakini kwann huu ufanyaji kazi umekuwa kwa haraka kuharibu kila...
TANZANIA inatarajiwa kujitangaza kimataifa kupitia Mkutano wa 28 (COP 28) wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, utakaofanyika Dubai Umoja wa Falme za...
Novemba 28, 2023 nilianza kuona fununu za aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo kujiuzulu. Nikiri ilikuwa nimetokea msibani Bukoba ambako nilikaa siku nne, hivyo...
Mwenye kufahamu utendaji kazi na majukumu yao kati ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Nyongeza ndogo, Je! Kura ya Turufu ni inamaana gani?
Hayawi hayawi Sasa yamekuwa.Kila nyumba kuunganishwa na gesi Asilia.
Siongezi neno, soma mwenyewe.👇
====
UNGUJA, Zanzibar: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kuwa...
📍Ushetu - WANANCHI JITOKEZE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA-MBUNGE CHEREHANI
Wananchi wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka...
Rais Samia amewataka vijana wa CCM kujibu taarifa na hoja za Wapinzani kwa takwimu na ushahidi wa kazi nzuri ya Serikali badala ya kulumbana, kubishana na kutukanana na Wapinzani ambao wamejaa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , John Heche leo tarehe 10/01/2024 , amefika Kilombero na kuhutubia Maelfu ya Wananchi , ambao kwa Kauli moja wamekubaliana kuing'oa CCM madarakani kwa Udi na...
Maswali haya hapa.
Lipi lilikuwa chimbuko la ufalme,umalkia, utemi, usultan n.k?
Sababu gani zilipelekea huu mfumo kutokea?
Ilitokea vipi familia moja tu ndani ya nchi au eneo kuwa na mamlaka...
Nilichogundua mambo mazuri ya maana kwa mustakabali wa maendeleo ya kweli ya nchi yetu yanayopendekezwa yafanyike nchini kwenye hili jukwaa Viongozi wetu hawayachukui zaidi a kuchukua mambo ya...