Rais Dkt. Mwinyi akutana na Mwenezi Makonda ikulu Zanzibar

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
479
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Ndg. Paul Christian Makonda, Ikulu Zanzibar tarehe: 11 Januari, 2024.

Aidha Katibu Mwenezi Makonda amempongeza Rais Dkt. Mwinyi kwa kazi nzuri anayoendelea kufanya kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 kipindi cha Miaka 3 kwa miradi mbalimbali ya maendeleo Zanzibar.

Kwa upande mwingine Rais Dkt. Mwinyi ampongeza Katibu Mwenezi Makonda kwa kuteuliwa kwake na kuanza kazi vizuri ya ujenzi wa Chama cha Mapinduzi kwa umma.

IMG-20240111-WA0048.jpg
IMG-20240111-WA0049.jpg
IMG-20240111-WA0047.jpg

PIA, SOMA:
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Ndg. Paul Christian Makonda, Ikulu Zanzibar tarehe: 11 Januari, 2024.

Aidha Katibu Mwenezi Makonda amempongeza Rais Dkt. Mwinyi kwa kazi nzuri anayoendelea kufanya kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 kipindi cha Miaka 3 kwa miradi mbalimbali ya maendeleo Zanzibar.

Kwa upande mwingine Rais Dkt. Mwinyi ampongeza Katibu Mwenezi Makonda kwa kuteuliwa kwake na kuanza kazi vizuri ya ujenzi wa Chama cha Mapinduzi kwa umma.View attachment 2868869View attachment 2868870View attachment 2868871

Mwamba kapendeza sana. Anaiheshimisha sana CCM
 
Back
Top Bottom