Gesi asilia kuwafikia watanzania wote. Wizara ya Nishati yasaini Mikataba ya usambazaji

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,779
Hayawi hayawi Sasa yamekuwa.Kila nyumba kuunganishwa na gesi Asilia.

Siongezi neno, soma mwenyewe.👇

====

UNGUJA, Zanzibar: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kuwa, Mkakati wa Wizara ya Nishati ni kuhakikisha kuwa inasimamia ipasavyo Sera ya Nishati ya mwaka 2015 na kuhakikisha kuwa kunakuwa na upatikanaji wa nishati safi ambayo itawafikia wateja mbalimbali kwa urahisi na bei nafuu.
-
Amesema kuwa, lengo la nchi ni kuwa na nishati inayotokana na vyanzo mbalimbali ikiwemo Jua, Upepo, Gesi na Maji ili Gesi Asilia iliyopo itumike pia kwa kiasi kikubwa kwenye maeneo mengine kama viwanda na majumbani badala ya kutumika kwa kiasi kikubwa kwenye umeme na pia kupunguza matumizi ya mafuta.

Dkt. Biteko ameeleza mikakati hiyo leo Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi katika hafla ya utiaji saini ya mkataba wa mauziano ya gesi asilia itakayozalishwa eneo la Ntorya, kitalu cha Ruvuma, kati ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), kampuni ya ARA Petroleum ya Oman na Ndovu Resources ya Uingereza.

Ameeleza kuwa, katika kitalu cha Ruvuma, gesi iliyogunduliwa na kuhakikiwa ni futi za ujazo bilioni 1.6. Mradi uliosainiwa utakuwa wa kwanza kufanyika nchini na utawezesha kupunguza kiu ya watanzania kutumia gesi asilia hata kwa maeneo yaliyo mbali na miundombinu ya mabomba na hivyo kuchochea matumizi ya nishati safi nchini.

Makubaliano hayo pia yamehusisha kuanzisha mahusiano ya kujenga miundombinu ya gesi asilia imesainiwa kati ya TPDC na Kampuni ya KS Energy, pia kuanzisha mahusiano ya kujenga miundombinu ya kusambaza Gesi Asilia kwa teknolojia ya miundombinu midogo ya kubadilisha Gesi Asilia kuwa kimiminika (Mini-LNG).

“Mkakati wetu ni kubadilisha suala hili la Gesi Asilia kutumika zaidi kwenye umeme ambayo ni takriban asilimia 80, tunataka kuwe na nishati mchanganyiko nchini ili gesi itumike kwenye viwanda na majumbani na pia tupunguze utegemezi wa mafuta.” Amesema Dk Biteko

Imeandaliwa na @ismailykawambwa
 
Nyumbu wa CHADEMA watakataa na kusema wao wanataka kuni tu😀😀😀 CHADEMA ni watani zangu sana na ninafurahi sana namma Mbowe anavyowaswaga na kuwabadilishia gia mahali popote pale bila kujali athari kwa nyumbu aliowabeba.
 
Hayawi hayawi Sasa yamekuwa.Kila nyumba kuunganishwa na gesi Asilia.

Siongezi neno, soma mwenyewe.👇

====

UNGUJA, Zanzibar: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kuwa, Mkakati wa Wizara ya Nishati ni kuhakikisha kuwa inasimamia ipasavyo Sera ya Nishati ya mwaka 2015 na kuhakikisha kuwa kunakuwa na upatikanaji wa nishati safi ambayo itawafikia wateja mbalimbali kwa urahisi na bei nafuu.
-
Amesema kuwa, lengo la nchi ni kuwa na nishati inayotokana na vyanzo mbalimbali ikiwemo Jua, Upepo, Gesi na Maji ili Gesi Asilia iliyopo itumike pia kwa kiasi kikubwa kwenye maeneo mengine kama viwanda na majumbani badala ya kutumika kwa kiasi kikubwa kwenye umeme na pia kupunguza matumizi ya mafuta.

Dkt. Biteko ameeleza mikakati hiyo leo Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi katika hafla ya utiaji saini ya mkataba wa mauziano ya gesi asilia itakayozalishwa eneo la Ntorya, kitalu cha Ruvuma, kati ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), kampuni ya ARA Petroleum ya Oman na Ndovu Resources ya Uingereza.

Ameeleza kuwa, katika kitalu cha Ruvuma, gesi iliyogunduliwa na kuhakikiwa ni futi za ujazo bilioni 1.6. Mradi uliosainiwa utakuwa wa kwanza kufanyika nchini na utawezesha kupunguza kiu ya watanzania kutumia gesi asilia hata kwa maeneo yaliyo mbali na miundombinu ya mabomba na hivyo kuchochea matumizi ya nishati safi nchini.

Makubaliano hayo pia yamehusisha kuanzisha mahusiano ya kujenga miundombinu ya gesi asilia imesainiwa kati ya TPDC na Kampuni ya KS Energy, pia kuanzisha mahusiano ya kujenga miundombinu ya kusambaza Gesi Asilia kwa teknolojia ya miundombinu midogo ya kubadilisha Gesi Asilia kuwa kimiminika (Mini-LNG).

“Mkakati wetu ni kubadilisha suala hili la Gesi Asilia kutumika zaidi kwenye umeme ambayo ni takriban asilimia 80, tunataka kuwe na nishati mchanganyiko nchini ili gesi itumike kwenye viwanda na majumbani na pia tupunguze utegemezi wa mafuta.” Amesema Dk Biteko

Imeandaliwa na @ismailykawambwa
Ogopa matapeli.
 
Ongeza hii kwenye Title "MGAO WA UMEME KUWA HISTORIA" weka na kicheko kidogo 😂😂😂
 
Hayawi hayawi Sasa yamekuwa.Kila nyumba kuunganishwa na gesi Asilia.

Siongezi neno, soma mwenyewe.

Safi sana. Sasa kwa mbali naanza kuiona Tanzania ya kijani.
 
Serikali ya huyu bib inaweza kipya mpaka wawezi huko
 
Barabara zenyewe shida, hayo mambomba ya gesi yatapitishwa hewani? Au wanadhani yanapitishwa kama mabomba ya maji ovyoovyo tu...
Vitu vingine vikisemwa na watu wazima inabidi uangalie kama kweli watoto walikwepo pembeni yao.
 
Nyumbu wa CHADEMA watakataa na kusema wao wanataka kuni tu CHADEMA ni watani zangu sana na ninafurahi sana namma Mbowe anavyowaswaga na kuwabadilishia gia mahali popote pale bila kujali athari kwa nyumbu aliowabeba.
Siasa tu hizo mzee

Blah blah moyeyusho jazz band

Usiziamini

Ova
 
Barabara zenyewe shida, hayo mambomba ya gesi yatapitishwa hewani? Au wanadhani yanapitishwa kama mabomba ya maji ovyoovyo tu...
Vitu vingine vikisemwa na watu wazima inabidi uangalie kama kweli watoto walikwepo pembeni yao.
Gesi isambazwe kwa miundo mbinu gani tuliyokuwa nayo

Ova
 
Back
Top Bottom