Hofu: Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria aliwazuia Wajumbe kumpigia Makofi Mnyika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,247
Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge, akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo .

Yaani Mhagama roho nusura imtoke baada ya Mnyika Kupongezwa kutokana na hoja zilizoshiba !

Hii ni aibu sana !
 
Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge , akiongoza vikao vya kipokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo .

Yaani Mhagama roho nusura imtoke baada ya Mnyika Kupongezwa kutokana na hoja zilizoshiba !

Hii ni aibu sana !
Yote haya anayataka bi Titi alitakiwa kuweka ili jambo wazi kwenye TV ili tumjue anayeharibu 4R za Bibi mdashi.
 
Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge , akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo

Yaani Mhagama roho nusura imtoke baada ya Mnyika Kupongezwa kutokana na hoja zilizoshiba !

Hii ni aibu sana !
Let's keep the records straight, sii kweli kuwa Mwenyekiti alizuia Mnyika asishangiliwe, bali alikuwa anakumbushia taratibu za vikao vya kamati, hakuna wachangiaji wowote kushangiliwa!, haswa ukizingatia JJMnyika ametinga na kundi kubwa la wafuasi wa Chadema na kuanza zile amsha amsha za shangilia kichawa chawa kila Mnyika anapozimiwa mic, ndipo Mwenyekiti akakumbushia mtu anayeryhusuwa kushangiliwa ni mmoja tuu!, unaweza kudhani Mwenyekiti wa ile kamati ni member wa lile kundi la chawa wa Mama!.
P
 
Let's keep the records straight, sii kweli kuwa Mwenyekiti alizuia Mnyika asishangiliwe, bali alikuwa anakumbushia taratibu za vikao vya kamati, hakuna wasemaji wowote kumshangilia!. Sawa JJMnyika ametinga na kundi kubwa la wafuasi wa Chadema na kuanza zile amsha amsha za shangilia kila Mnyika anapozimiwa mic, ndipo Mwenyekiti akakumbushia mtu anayeryhusuwa kushangiliwa ni mmoja tuu!, unaweza kudhani Mwenyekiti wa ile kamati ni member wa lile kundi la chawa wa Mama!.
P
Sasa unafafanua , unabisha au unachangia ?
 
Ni ushamba mkubwa. Kamati ya Kudumu ya Bunge inajifanya wapo makini kufanya jambo jema kwa nchi, Leo kamati imezidi kujiabisha kwa kuonekana wanafanya usanii.

Lakini mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la chama kimoja kongwe dola CCM alishindwa na nguvu ya umna, watu waliendelea kupiga makofi kila wakati katibu mkuu wa CHADEMA alipojenga hoja katika wasilisho la karne kutoka chama makini cha kisiasa nchini.

Video hivi ndivyo Katibu Mkuu wa CHADEMA alivyofanya wasilisho lilopeleka mtikisiko CCM

View: https://m.youtube.com/watch?v=bKf7xpsl0VI
 
Ni ushamba mkubwa. Kamati ya Kudumu ya Bunge inajifanya wapo makini kufanya jambo jema kwa nchi, Leo kamati imezidi kujiabisha kwa kuonekana wanafanya usanii.

Lakini mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la chama kimoja kongwe dola CCM alishindwa na nguvu ya umna, watu waliendelea kupiga makofi kila wakati katibu mkuu wa CHADEMA alipojenga hoja katika wasilisho la karne kutoka chama makini cha kisiasa nchini.
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Let's keep the records straight, sii kweli kuwa Mwenyekiti alizuia Mnyika asishangiliwe, bali alikuwa anakumbushia taratibu za vikao vya kamati, hakuna wachangiaji wowote kushangiliwa!, haswa ukizingatia JJMnyika ametinga na kundi kubwa la wafuasi wa Chadema na kuanza zile amsha amsha za shangilia kichawa chawa kila Mnyika anapozimiwa mic, ndipo Mwenyekiti akakumbushia mtu anayeryhusuwa kushangiliwa ni mmoja tuu!, unaweza kudhani Mwenyekiti wa ile kamati ni member wa lile kundi la chawa wa Mama!.
P
Lakini mi nadhani kamati na mwenyekiti wake wanakosea. nIkiwa inataka kupata maoni kwanini kuwe mtoa maoni asiachwe akatoa maoni yake mwanzo mwisho, badala yake yeye mwenyekiti wa kamati anaongea sana kwa kutumia muda wa mtoa maoni, na kisha nanaruhusu miongozo yeye huyo huyo, halafu anakataa kuoa muda kumruhusu mtoa maoni kumalizia kutoa maoni yake.

Kwani kuna haraka gani, Kwanini wasijipe muda wa kutosha kupokea maoni ili wapate maoni mengi ,mazuri na yakutosha ili kusiwe na malalamiko kama haya ya kuona kundi fulani linanyimwa muda au kufanyiwa fitina lisitoe maoni yake.

Lengo ni kupokea maoni, wapokee tu, halafu aliyewatuma akiona hayafai ayakatae, wao watekeleze jukumu lao la kupokea maoni hata kama hawayataki, au haypendezi kwao.

Yani wao tena ndio wachuja maoni badala kupokea maoni yote kwa haki. Ningekuwa mimi ningempa Mnyika muda mwingi zaidi ili kuondoa lawama kama hizi.
 
Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge, akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo .

Yaani Mhagama roho nusura imtoke baada ya Mnyika Kupongezwa kutokana na hoja zilizoshiba !

Hii ni aibu sana !
Yaani Mhagama roho nusura imtoke baada ya Mnyika Kupongezwa kutokana na hoja zilizoshiba !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let's keep the records straight, sii kweli kuwa Mwenyekiti alizuia Mnyika asishangiliwe, bali alikuwa anakumbushia taratibu za vikao vya kamati, hakuna wachangiaji wowote kushangiliwa!, haswa ukizingatia JJMnyika ametinga na kundi kubwa la wafuasi wa Chadema na kuanza zile amsha amsha za shangilia kichawa chawa kila Mnyika anapozimiwa mic, ndipo Mwenyekiti akakumbushia mtu anayeryhusuwa kushangiliwa ni mmoja tuu!, unaweza kudhani Mwenyekiti wa ile kamati ni member wa lile kundi la chawa wa Mama!.
P
P, misimamo yako dhidi ya Chadema inakutoa nje ya 4R, penye Chadema P yupo na manati yake, pasipo Chadema P anapotezea. P narudia tena kukuambia kuwa hautaweza kuwa wala kumkaribia Lakha(deceased) na 4R si sehemu yako.
 
Back
Top Bottom