John Heche atikisa Kilombero ni katika Maandalizi ya kung'oa CCM 2025

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,779
218,404
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , John Heche leo tarehe 10/01/2024 , amefika Kilombero na kuhutubia Maelfu ya Wananchi , ambao kwa Kauli moja wamekubaliana kuing'oa CCM madarakani kwa Udi na Uvumba 2025.

Habari kamili hii hapa.

Screenshot_2024-01-10-23-29-56-1.png
Screenshot_2024-01-10-23-29-39-1.png
Screenshot_2024-01-10-23-29-29-1.png
Screenshot_2024-01-10-23-29-19-1.png
 
Kuing'oa CCM madarakani au kuing'oa kwenye viyti viwili vitatu vya bungeni?

Hivyo vya bungeni hata 60 tutwapa, usiwe na wasiwasi, mwendazake aliwafanyia faulo sana. Mama ni mstaarabu.
Mama hatogombea 2025
 
Chadema bhana 😂

CCm wakikaa vikao vyao na kuamua kumpitisha rais unakuja hapa kulalamika ni Vp mbona mapema hvy, lkn hapo hapo unaona ni sawa nyie kufanya maandalizi ya uchaguzi kumtoa ccm 😂
 
Wametikisa wengi tu. Na hakuna aliye weza....hata na miungu yao.

Ila, wapinzani huwa wanajing'oa wenyewe.

Chagua kwa Umakini 2025
 
Back
Top Bottom