Rushwa ni tatizo kubwa sana na imefika wakati wa kuwa na daftari maalumu la wala rushwa wote na watoa rushwa wote ambao wamepelekwa mahakamani na kuthibitishwa.
Hiyo list iwe ma majina na namba...
Ulevi wa madaraka ni mbaya sana kuliko hata wa kubugia ugoro.
Eti anawasemea Wamaasai kuwa hawataki katiba mpya?
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kweli shibe ni ulevi pia.
Nimeamini kuwa mtu anayefaidika...
Mafia ni moja kati ya wilaya 6 za mkoa wa Pwani katika Tanzania yenye postikodi namba 61700. Eneo lake ni hasa Kisiwa cha Mafia na visiwa vidogo karibu nacho. Mji mkuu na makao makuu ya wilaya ni...
Naingalia Zanzibar kwa jicho la kipekee sana.
Wanafanya miradi kama ya Tanzania bara ina miradi yao inafanywa kwa ubora wa kipekee sana.
Naona majengo mengi yanayojengwa kwao wanatumia kampuni...
Kundi la Katibu mkuu aliyejiuzulu kwa Kashfa Daniel CHONGOLO na makundi ya wasaka URAIS 2025 na 2030 yanafanya minyukano ya kuhakisha Samia hapati.
Katibu Mkuu mzuri kila kundi linapambana...
Mapendekezo ya jumla na msimamo wa CHADEMA juu ya miswada ya sheria iliyowasilishwa bungeni 10, Novemba 2023 inayohusu masuala ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa
NB; maoni haya...
Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wakati wa uchaguzi.
Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa...
Kuna kitu kinanishangaza sijaelewa bado. Waziri Bashe alikataza magari ya kigeni kuingia hadi vijijini kukusanya mazao lakini hadi sasa tunashuhudia utitiri wa magari ya kigeni huku Karatu...
Wadau naomba kuuliza hivi huyu Joeseph Mhagama ni nani...!!? Binafsi ndiyo nimemsikia kwa mara ya kwanza. Imekuwaje akapewa kazi kubwa kama hii...!!?
Binafsi sikuwahi kumsikia mpaka sasa kwenye...
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA ni watu wenye uroho na uchu mkubwa sana wa madaraka.ndio maana kwa kila jambo linalojitokeza mbele yao wao huangalia ni vipi watapata na kufaidika zaidi na kupata...
Leo kule uwamja wa amani ulipigwa kwanza mwimbo wa taifa wa Zanzibar ukafuatia ule wa Africa Mashariki.
Katiba ya Zanzibar iko wazi, kwa nini huku Tanganyika tunajin'gata vidole?
Na hapa ifahamike kuwa, Kuwa Chama chochote cha upinzani, ni njia nzuri ya kukataa ujinga na kuwa sehemu ya furusa ya maccm
Ujinga ni pamoja na kukubaliana mambo yenye kinyume na ukweli
Hii...
Rais wa Zanzibar Dr.Husein Mwinyi amesema Zanzibar inaenda kuzindua sera Bora kabisa ya uwekezaji hapa Africa ambapo pamoja na mambo mengine itatoa mashamba wa Kodi Kwa wawekezaji wa sekta za...
Mapinduzi ya mwaka 1964 yaliiondoa serikali halali na kuisimika serikali ya Mapinduzi. Watu waliuliwa wengi wakati na baada ya mapinduzi.
Baada ya mapinduzi tulitegemea kuona demokrasia ikitawala...
Tangu mwaka 1961 Tanzania imekua kinara wa kupambania haki za wanyonge international Justice, ilikua kiongozi wa frontline state kipindi cha kupambania Uhuru katika nchi za Africa na Asia, hicho...
Utakuta tu Sikukuu ya Uhuru tunasherehekea kwa kufanya Usafi Mitaani
Wenzetu Kenya sikukuu ya Uhuru wao wanaipa umuhimu mkubwa sana
Labda itungwe sheria ya Sherehe za Uhuru
Au nasema Uwongo...
Binafsi nakubaliana 100% kwamba bunge ni muhimu kwenye kuisimamia serikali kwa mujibu wa katiba ila siridhishwi na jinsi lilivyo kwa sasa. Mimi maoni yangu kuhusu bunge ni kama ifuatavyo;
1. Viti...
Mpaka leo Dunia nzima haijapata ukweli kama alipigwa risasi au kutumbukizwa baharini.
Hanga alikubalika sana kwa uwezo wake wa kudadavua mambo na kuwa na ushawishi mkubwa ndio maana Mzee Karume...
Habarini wadau
Nimekuwa nikifuatilia sana Historia ya Zanzibar siku za karibuni
Kuna sehemu nilisoma kuwa anae enziwa kuwa ni baba wa mapinduzi Sheikh Aman Karume hakuwa anahusika kwa kiasi...
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI KUTUMIA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA MASHAURI WA MAHAKAMA KUU
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) imeanza kutumia Mfumo wa Mashauri wa Mahakama wa Kieletroniki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.