Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,028
- 12,353
Maswali haya hapa.
Lipi lilikuwa chimbuko la ufalme,umalkia, utemi, usultan n.k?
Sababu gani zilipelekea huu mfumo kutokea?
Ilitokea vipi familia moja tu ndani ya nchi au eneo kuwa na mamlaka hayo na sio familia nyingine?
Hizi familia zina vitu gani special ambavyo familia nyingine zote ndani ya nchi au eneo hazina ila ni wao tu?
Utaongeza na wewe maswali yako