Rais Samia: UVCCM acheni kulumbana na wapinzani Mitandaoni, jibuni hoja kwa Takwimu na Ushahidi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,821
Rais Samia amewataka vijana wa CCM kujibu taarifa na hoja za Wapinzani kwa takwimu na ushahidi wa kazi nzuri ya Serikali badala ya kulumbana, kubishana na kutukanana na Wapinzani ambao wamejaa stress na sura za kufura.

Rais Samia amewataka wafuate mfano mzuri wa Mimi ChoiceVariable katika kujibu madai ya watoa taarifa(Wapinzani) kwa takwimu, ukweli na usahihi ambao nimekuwa nafanya hapa Jukwaani kiasi watu kuniita kila aina ya majina.

My Take
Ili UVCCM waweze kutimiza azma hiyo ya Rais ni sharti wawe na taarifa sahihi na wajue Kwa kupata taarifa na wawe wanapenda kujisomea vinginevyo wanaweza kuleta taharuki.

Pia taasisi za Serikali ni lazima ziwe zinatoka taarifa au updates za mara Kwa mara kwenye sites zao Ili iwe rahisi juzi access maana kumekuwa na kamtindo ka kuficha taarifa.

Hongera sana Rais Samia kwa kuwakumbusha UVCCM, wakishindwa mimi nitaendelea kuwasaidia bure kabisa maana mimi sio Mwanachama wa CCM bali shabiki wako, I like the way unaongoza nchi kwa mafanikio makubwa.

Kazi iendelee.
 
Ngoja waje BAVICHA

Dawa ya UVCCM na wengineo, Sagai Galagaza, Tindo ataka kuwa Tundu,
====
....namalizia togwa hapa, nikirudi nawataja wengine
====

...ila na wewe Choice, TCRA hawajakusahau.😌😅
 
Ni kweli kabisa wapinzani wamejaa stress Sana ndio maana muda wote wanaporomosha na kunuka matusi midomoni mwao kama vichaa au wendawazimu.
 
Rais Samia amewataka vijana wa CCM kujibu taarifa na hoja za Wapinzani kwa takwimu na ushahidi wa kazi nzuri ya Serikali badala ya kulumbana, kubishana na kutukanana na Wapinzani ambao wamejaa stress na sura za kufura.

Rais Samia amewataka wafuate mfano mzuri wa Mimi ChoiceVariable katika kujibu madai ya watoa taarifa(Wapinzani) kwa takwimu, ukweli na usahihi ambao nimekuwa nafanya hapa Jukwaani kiasi watu kuniita kila aina ya majina.

My Take
Ili UVCCM waweze kutimiza azma hiyo ya Rais ni sharti wawe na taarifa sahihi na wajue Kwa kupata taarifa na wawe wanapenda kujisomea vinginevyo wanaweza kuleta taharuki.

Pia taasisi za Serikali ni lazima ziwe zinatoka taarifa au updates za mara Kwa mara kwenye sites zao Ili iwe rahisi juzi access maana kumekuwa na kamtindo ka kuficha taarifa.

Hongera sana Rais Samia kwa kuwakumbusha UVCCM, wakishindwa mimi nitaendelea kuwasaidia bure kabisa maana mimi sio Mwanachama wa CCM bali shabiki wako, I like the way unaongoza nchi kwa mafanikio makubwa.

Kazi iendelee.
Uvccm huwa ni wapumbavu, mapoyoyo,majinga na masaka tonge.
 
Yeye lini aliwajibu hao kina mbowe Kwa takwimu na hoja

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Rais Samia amewataka vijana wa CCM kujibu taarifa na hoja za Wapinzani kwa takwimu na ushahidi wa kazi nzuri ya Serikali badala ya kulumbana, kubishana na kutukanana na Wapinzani ambao wamejaa stress na sura za kufura.

Rais Samia amewataka wafuate mfano mzuri wa Mimi ChoiceVariable katika kujibu madai ya watoa taarifa(Wapinzani) kwa takwimu, ukweli na usahihi ambao nimekuwa nafanya hapa Jukwaani kiasi watu kuniita kila aina ya majina.

My Take
Ili UVCCM waweze kutimiza azma hiyo ya Rais ni sharti wawe na taarifa sahihi na wajue Kwa kupata taarifa na wawe wanapenda kujisomea vinginevyo wanaweza kuleta taharuki.

Pia taasisi za Serikali ni lazima ziwe zinatoka taarifa au updates za mara Kwa mara kwenye sites zao Ili iwe rahisi juzi access maana kumekuwa na kamtindo ka kuficha taarifa.

Hongera sana Rais Samia kwa kuwakumbusha UVCCM, wakishindwa mimi nitaendelea kuwasaidia bure kabisa maana mimi sio Mwanachama wa CCM bali shabiki wako, I like the way unaongoza nchi kwa mafanikio makubwa.

Kazi iendel
Nani alumbane na vilaza wa kijani. Hakuna muda huo. Matapeli wakubwa na bomu lao la kienyeji. Halina future wala mpango wowote
 
Na kwa kauli hii ya mama, maana yake ni kwamba Kuna uvccm wamepewa kazi maalumu ya kuja kuisifia ccm mitandaoni. Lkn. Wanazidiwa hoja na kuishia kutukana tu.
 
Back
Top Bottom