Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Declaration of interest, japo Paskali ni mwanachama, wa chama cha siasa, maoni yangu ni maoni ya Mtanzania Mzalendo wa kweli wa nchi yake anayetanguliza mbele maslahi ya taifa kwa kutoa...
30 Reactions
151 Replies
17K Views
Hatua ya mwekezaji Mwingereza kuishtaki Zanzibar kutokana na uamuzi wa serikali ya Dkt Mwinyi kuvunja mkataba wa kukodi ardhi inaweza kuwa na athari kwa mwanasiasa huyo 2025. Kampuni ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hali ilivyo nchini kuna njia mbili yakuamua siasa za 2024 hadi 2025. Njia ya kwanza ni chama cha mapinduzi kuweka kwenye safu yake viongozi wenye ushawishi kwa jamii. Kwa mtazamo wangu hakuna jina...
0 Reactions
1 Replies
548 Views
Ukiangalia Kikosi cha Chadema cha sasa hakuna muandamanaji pale ni kuwadanganya tu Wananchi Wale wanaotaka mabadiliko ya kweli ni heri waungane na Vuguvugu la akina Dr Mdude na Wakili msomi...
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Leo wakati namsikiliza Mh. Aikael Freeman Mbowe, amegusia jambo ambalo kwa kweli kwa maoni yangu naona yuko sahihi kwa 100%. Hii Serikali ukiangalia maisha wanayoishi Viongozi na Raia, utafikiri...
2 Reactions
1 Replies
631 Views
Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake umekamilika itakayowasiri kesho Oktoba 03, 2023. Ndege hiyo yenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
03 August 2022 Kuna Uhitaji Mkubwa wa Huduma za ndege kubwa nyada za juu kusini Ndege kubwa ya ATCL aina ya Airbus A220-300 yaanza safari zake uwanja wa Songwe. Viongozi wafunguka kigugumizi...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
- Kukatika katika hovyo kwa umeme - Fukuza fukuza ya machinga - Kuongeza nauli hovyo hovyo - Ubovu wa miundombinu ya barabara - Kukwama kwa miradi mbalimbali - Mfumko wa kutisha wa bei -...
26 Reactions
154 Replies
6K Views
"Kila baada ya miaka mitano, asilimia takribani 65 ya wabunge hawarudi [hawachaguliwi tena]. Kwahivyo, hata utishie namna gani, utatoka tu kama wakati wako wa kutoka umefika." - Mbunge wa Nzega...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Mama anawapenda sana waarabu,je anafurahia sherehe za Mapinduzi ambazo ziliua waarab na kuwafukuza nchini Zanzibar!? Wakati Waarabu wa Omani walipokiteka kisiwa cha Mombasa kutoka kwa Wareno...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
JamiiForums , Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Taasisi ya Twaweza na Centre for Strategic Litigation (CSL) wametoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Taasisi nyingi ikiwemo TEC, KKT, CCT, BAKWATA na mengineyo na pia watu wengi wametoa maoni yao kuhusu sheria 3 zilizowasilishwa Bungeni Novemba 2023 na kwa asilimia kubwa wameiomba Serikali na...
0 Reactions
0 Replies
433 Views
Mwamba wa Siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema ambacho ni Chama kinachoungwa mkono na watu wengi zaidi nchini Tanzania, huku takwimu zikionyesha kwamba...
19 Reactions
95 Replies
25K Views
1. Ukiona mtu amepewa airtime na TBC, ujue katumwa na CCM/serikali. Leo namuona anaongea TBC eti miswada isiondolewe bungeni, maana ikiodolewa haitarudi tena. 2. Kwa hiyo anamaanisha kuwa...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
I am not in the least bit impressed. Maonyesho ya kuvunja mbao, ya kuvunja matofali ya mchanga, ya kuokoa ‘mateka’ kwenye kiwanja cha mpira, na mengineyo, kwangu hayana maana yoyote ile...
20 Reactions
177 Replies
8K Views
Kiufupi WB Imetoa taarifa ya Nchi 5 Zinazokopa Zaidi Mikopo ya Riba nafuu Kupitia Dirisha La kusaidia Nchi maskini IDA ambalo ni mahsusi Kwa Nchi 75 Duniani kote.Kwa.mujibu wa Data za mwaka...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo. Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary. Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa...
12 Reactions
114 Replies
27K Views
Hivi ni lini CCM itatoka madarakani, moja ya furaha yangu nikuona Ccm wakipokonywa kiti cha uRais sio kwa ubaya ila tu mabadiriko haya natamani niyaone nikiwa bado hai. Mimi ni MwanaCCM japo...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
1. Wabunge wote wachaguliwe kupitia kura za wananchi katika majimbo. Kusiwepo na wabunge wa viti maalum au wa kuteuliwa. 2. Jimbo moja la ubunge liundwe na idadi ya raia kati ya 150,000 hadi...
2 Reactions
9 Replies
868 Views
Wadau ni muda mrefu sasa Msanii wa Bongo Movie RAY Kigosi haonekani. Nimekuwa najiuliza je ameacha kuigiza?
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…