03 August 2022
Kuna Uhitaji Mkubwa wa Huduma za ndege kubwa nyada za juu kusini
Ndege kubwa ya ATCL aina ya Airbus A220-300 yaanza safari zake uwanja wa Songwe. Viongozi wafunguka kigugumizi kilichokuwepo cha ndege kutua usiku kutokana na kukosekana taa za uwanjani, ambapo sasa tayari zimefungwa ktk runway / njia ya kutua ndege hivyo kumaliza changamoto ya safari za usiku na mapema asubuhi.
Waziri mdogo wa ujenzi Mh. Atupele Mwakibete asema, anategemea sasa pia ndege za mashirika makubwa kama KLM n.k zenye miruko ya kufika Kilimanjaro International Airport sasa pia kutua Songwe international airport mkoani Mbeya kutoka ulaya n.k ili kuweza kukuza biashara
Source : Site TV online