mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,714
Wadau ni muda mrefu sasa Msanii wa Bongo Movie RAY Kigosi haonekani. Nimekuwa najiuliza je ameacha kuigiza?
Yule alikunywa maji hadi akabadilika rangi yake ya asili?Wadau ni muda mrefu sasa Msanii wa Bongo Movie RAY Kigosi haonekani. Nimekuwa najiuliza je ameacha kuigiza?
Vipi ,bado ana rangi mbili za mwili wakeMwezi jana nilikutana naye yupo amejaa tele.
Vipi ,bado ana rangi mbili za mwili wake
Wadau ni muda mrefu sasa Msanii wa Bongo Movie RAY Kigosi haonekani. Nimekuwa najiuliza je ameacha kuigiza?
Aaah. Aaaaah. Aaah. Sema km yupo ama hayupo!Yule alikunywa maji hadi akabadilika rangi yake ya asili?