Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,442
- 113,452
Wanabodi,
Kuna serikali za aina mbili, de jure, kwa mujibu wa sheria, na de facto, zilizotokana na mapinduzi, lakini zote ni serikali halisi, ziwe ni halali au si halali hazihusiani na uhalisi wa uwepo wake, hivyo Serikali ya mwanzo ya Zanzibar, yaani SMZ iliyokuwa chini ya Baraza la Mapinduzi, ilikuwa ni serikali De Facto, baada ya kuipindua serikali halali ya Waziri Mkuu Shamte, iliyokuwa De Jure.
Serikali hii De Factor iliongoza Zanzibar kwa kipindi cha miaka 11, hadi mwaka 1975 ilijigeuza De Jure kwa kutafuta uhalali wa kuchaguliwa na wananchi, hivyo tangu hapo, SMZ japo imekuwa ikiendelea kutumia jina la SMZ, hili ni SMZ jina tuu, ila serikali sio Kimapinduzi tena bali ni ya kidemokrasia iliyochaguliwa na watu, na kuongozwa na Baraza la Mapinduzi jina tuu lakini sio lile Baraza kweli la Mapinduzi, na slogan ya "Mapinduzi Daima" kubaki luwa ni slogan tuu, lakini mapinduzi yaliisha pita na yaliisha kwisha kwa kufanyika uchaguzi iliyoibadili haramu kuwa halali, kutoka de facto na kuwa de jure!.
Kwa vile muda wa serikali halali kuwepo madarakani ni miaka 5!, baada ya kumalizika hiyo miaka 5, hapo ndipo uhalali wa kisheria wa serikali iliyopo ulipofika ukomo, and for whataever the case, the reasons or the circumstances zilizopelekea serikali hii kuendelea kuwepo madarakani baada ya muda wake wa kisheria kumalizika, kunaibadili tuu status ya serikali hiyo kutoka kuwa ni serikali ya de jure, na kuigeuza ni de facto by default ya circumstances ya hakuna wa kumkabidhi madaraka!, huwezi kuiacha nchi kwenye vacuum!.
Nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kutokana na mchango wa mwana jf huyu, mr.London, alyechangia kwenye uzi huu
Mabadiliko ya ghafla ya uongozi wa Benki ya watu Zanzibar (PBZ)
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua hatua zozote
Pasco

mr.LondonIvi tokea uchaguz ufutwe Zanzibar kipindi cha miaka 5 kumalizika lini ulimsikia maalim seif akijiita Makamu wa kwanza Zanzibar? lini ulisikia mawaziri wa CUF wakiendelea kuwa mawaziri?
hilo ombi lako ungeliekeza zaidi kwa Dr. shein ambae amemaliza muda wake miaka 5 kikatiba lakin bado anajiita rais wa Zanzibar ilhali uchaguz umefutwa hakuna rais Zanzibar muda wk ulikwisha toka Nov 2. nadhan ungelekeza huko mtazamo wako wa maandamano.
- Umakamo wa rais au uwaziri, hautolewi kwa matamko ya kusimama jukwaani na kutamka "mimi makamo wa rais, au mimi waziri!", umakamo wa rais na uwaziri, unatolewa kwa barua ya uteuzi na unamalizika au kwa kujiuzulu mwenyewe kwa barua na sio kwa kauli, au kwa kufukuzwa kwa barua na sio kwa kauli, au kwa kumalizika muda wake wa kikatiba wa miaka mitano.
- Hakuna yoyote kati ya hayo matatu yamefanyika!, wale mawaziri wa CUF ndani ya SUK wametamka kujiuzulu, hakuna aliyeandika barua ya kujiuzulu na kwa taarifa yako mpaka leo, wanapokea mishahara yao na marupurupu yote!. Kama ni kweli CUF ina nia ya dhati kuutangazia ulimwengu kuwa Zanzibar iko kwenye vacuum ya uongozi, wajiuzulu kwa barua na murejeshe mishahara na marupurupu waliyolipwa baada ya muda wa uhai wa SMZ kumalizika!.
- Ni kweli muda wa kikatiba wa kuwepo madarakani kwa SMZ umekwisha na umepita, hivyo SMZ ni kweli kisheria na kikatiba sio seikali halali kwa mujibu wa sheria na mujibu wa katiba yaani de jure government bali ni de facto due to circumstances za kutokuwepo wa kumkabidhi nchi, kuliko kuacha vacuum, ZMZ imejiextendisha muda wake hadi serikali mpya ipatikane!. Taasisi pekee yenye mamlaka ya kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar sio Maalim Seif, sio Jussa, sio wanasheria na wala sio wanasiasa bali ni Mahakama Kuu ya Zanzibar ndio pekee yenye mamlaka ya kutoa tamko kuhusu uhalali wa SMZ and no one else.