Ukweli ni kwamba PM Majaliwa amenyimwa uhuru wa kufanya kazi

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Je, Majaliwa wa 2015-2021 ndiye huyo wa sasa!?

Ukweli ni kwamba, siye Majaliwa tuliye mzoea. Siye PM Majaliwa aliye wahi kuwa na uwezo wa kuchukua uamuzi mgumu kwa Watumishi wazembe wa Serikali. Na siye Kassim aliye ogopewa na Watendaji wazembe wa Serikali.

Kwa hakika, Majaliwa kapoa kawa wa baridi na mwenye wingi wa hofu wa kuamua jambo! Majaliwa wa leo ni Kassim wa kusubiri ishara ya Samia ya kutopendezwa na jambo fulani ndipo naye huanza kuchukua hatua.

Siyo siri tena Taifa la Tanzania linamhitaji PM Majaliwa wa 2015-2021 ili likomboke na mafisadi na wazembe kazini!

Ni wakati sahihi sasa wapenda haki tumlazimishe Kassim awe yule na si huyo wa sasa.

Eti, kwa mshangao wa haja kuhusu madudu yanayoendelea pale Tanesco kwa mfano Majaliwa yule angekuwa msinyaa kama tete kwalo!?
 
Kazi gani aliyokwisha wahi fanya Tangible?

Ufisadi
Wasiojulikana
Vilitamalaki mwenyewe yuko Kimyaaa anakula viyoyozi tu.

Watu wanakufa hovyo hovyo na kupigwa shaba
yeye yupo tu.

Sijawahi kuona PM asiyejali kama Waziri Mkuu Majaliwa.

Ukweli usemwe
 
Lazima kuwe na sababu iliyomfanya awe hivyo!

NAAMINI SABABU YENYEWE NI KUBWA NA HAWEZI KUIPINGA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kazi gani aliyokwisha wahi fanya Tangible?

Ufisadi
Wasiojulikana
Vilitamalaki mwenyewe yuko Kimyaaa anakula viyoyozi tu.

Watu wanakufa hovyo hovyo na kupigwa shaba
yeye yupo tu.

Sijawahi kuona PM asiyejali kama Waziri Mkuu Majaliwa.

Ukweli usemwe

...upofu nalo ni gonna.
 
Jinsi alivyo mchungaji, na kondoo vilevile

Ukimsifu Kasimu Majaliwa, lazima uanze na mkuu wake

Bila ya hilo, lazima Majaliwa awe wa hovyo
 
Je, Majaliwa wa 2015-2021 ndiye huyo wa sasa!?

Ukweli ni kwamba, siye Majaliwa tuliye mzoea. Siye PM Majaliwa aliye wahi kuwa na uwezo wa kuchukua uamuzi mgumu kwa Watumishi wazembe wa Serikali. Na siye Kassim aliye ogopewa na Watendaji wazembe wa Serikali.

Kwa hakika, Majaliwa kapoa kawa wa baridi na mwenye wingi wa hofu wa kuamua jambo! Majaliwa wa leo ni Kassim wa kusubiri ishara ya Samia ya kutopendezwa na jambo fulani ndipo naye huanza kuchukua hatua.

Siyo siri tena Taifa la Tanzania linamhitaji PM Majaliwa wa 2015-2021 ili likomboke na mafisadi na wazembe kazini!

Ni wakati sahihi sasa wapenda haki tumlazimishe Kassim awe yule na si huyo wa sasa.

Eti, kwa mshangao wa haja kuhusu madudu yanayoendelea pale Tanesco kwa mfano Majaliwa yule angekuwa msinyaa kama tete kwalo!?
Kipindi hicho alikuwa anatumwa na jiwe. Yeye mwenyewe hana jipya tangu mwanzo
 
Huwezi kuwa muongo na watu wakakuamini ni mpumbavu tu.PM Majaliwa ana siasa za maji taka kitendo Cha kupita bila ushindani jimboni kwake kilifanya nimdharau PM.

Alikuja kuharibu kwenye kifo cha Shujaa JPM tena akiwa msikitini.

Na ndo PM wa kwanza ndani ya taifa hiki kuzindua gereza uko kwako.
 
Je, Majaliwa wa 2015-2021 ndiye huyo wa sasa!?

Ukweli ni kwamba, siye Majaliwa tuliye mzoea. Siye PM Majaliwa aliye wahi kuwa na uwezo wa kuchukua uamuzi mgumu kwa Watumishi wazembe wa Serikali. Na siye Kassim aliye ogopewa na Watendaji wazembe wa Serikali.

Kwa hakika, Majaliwa kapoa kawa wa baridi na mwenye wingi wa hofu wa kuamua jambo! Majaliwa wa leo ni Kassim wa kusubiri ishara ya Samia ya kutopendezwa na jambo fulani ndipo naye huanza kuchukua hatua.

Siyo siri tena Taifa la Tanzania linamhitaji PM Majaliwa wa 2015-2021 ili likomboke na mafisadi na wazembe kazini!

Ni wakati sahihi sasa wapenda haki tumlazimishe Kassim awe yule na si huyo wa sasa.

Eti, kwa mshangao wa haja kuhusu madudu yanayoendelea pale Tanesco kwa mfano Majaliwa yule angekuwa msinyaa kama tete kwalo!?
Inatuuma sana aiseee!
Kheri aache kazi tu au aanze kupambana kuchukuwa nchi 2025!
Yupo kama boya wazee! 😢😭😭😭
 
Je, Majaliwa wa 2015-2021 ndiye huyo wa sasa!?

Ukweli ni kwamba, siye Majaliwa tuliye mzoea. Siye PM Majaliwa aliye wahi kuwa na uwezo wa kuchukua uamuzi mgumu kwa Watumishi wazembe wa Serikali. Na siye Kassim aliye ogopewa na Watendaji wazembe wa Serikali.

Kwa hakika, Majaliwa kapoa kawa wa baridi na mwenye wingi wa hofu wa kuamua jambo! Majaliwa wa leo ni Kassim wa kusubiri ishara ya Samia ya kutopendezwa na jambo fulani ndipo naye huanza kuchukua hatua.

Siyo siri tena Taifa la Tanzania linamhitaji PM Majaliwa wa 2015-2021 ili likomboke na mafisadi na wazembe kazini!

Ni wakati sahihi sasa wapenda haki tumlazimishe Kassim awe yule na si huyo wa sasa.

Eti, kwa mshangao wa haja kuhusu madudu yanayoendelea pale Tanesco kwa mfano Majaliwa yule angekuwa msinyaa kama tete kwalo!?
Lazima awe makini maana hawa macho kumchuzi wa mama wanamtafuta sababu ya kumtosa. Hawa wala kwa urefu wa kamba hawataki wenye mwelekeo wa kimagufuli. Kassim afanye kazi ya kimagufuli kwa uangalifu na 2025 asije kuzugwa na kina macho kumchuzi eti zamu ya mama haijaisha wakati ni upigaji tu wa umma unaendelea.
 
Je, Majaliwa wa 2015-2021 ndiye huyo wa sasa!?

Ukweli ni kwamba, siye Majaliwa tuliye mzoea. Siye PM Majaliwa aliye wahi kuwa na uwezo wa kuchukua uamuzi mgumu kwa Watumishi wazembe wa Serikali. Na siye Kassim aliye ogopewa na Watendaji wazembe wa Serikali.

Kwa hakika, Majaliwa kapoa kawa wa baridi na mwenye wingi wa hofu wa kuamua jambo! Majaliwa wa leo ni Kassim wa kusubiri ishara ya Samia ya kutopendezwa na jambo fulani ndipo naye huanza kuchukua hatua.

Siyo siri tena Taifa la Tanzania linamhitaji PM Majaliwa wa 2015-2021 ili likomboke na mafisadi na wazembe kazini!

Ni wakati sahihi sasa wapenda haki tumlazimishe Kassim awe yule na si huyo wa sasa.

Eti, kwa mshangao wa haja kuhusu madudu yanayoendelea pale Tanesco kwa mfano Majaliwa yule angekuwa msinyaa kama tete kwalo!?
Anadindiwa mpaka na DED wa Jiji la Mwanza Kagulumjuri!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Je, Majaliwa wa 2015-2021 ndiye huyo wa sasa!?

Ukweli ni kwamba, siye Majaliwa tuliye mzoea. Siye PM Majaliwa aliye wahi kuwa na uwezo wa kuchukua uamuzi mgumu kwa Watumishi wazembe wa Serikali. Na siye Kassim aliye ogopewa na Watendaji wazembe wa Serikali.

Kwa hakika, Majaliwa kapoa kawa wa baridi na mwenye wingi wa hofu wa kuamua jambo! Majaliwa wa leo ni Kassim wa kusubiri ishara ya Samia ya kutopendezwa na jambo fulani ndipo naye huanza kuchukua hatua.

Siyo siri tena Taifa la Tanzania linamhitaji PM Majaliwa wa 2015-2021 ili likomboke na mafisadi na wazembe kazini!

Ni wakati sahihi sasa wapenda haki tumlazimishe Kassim awe yule na si huyo wa sasa.

Eti, kwa mshangao wa haja kuhusu madudu yanayoendelea pale Tanesco kwa mfano Majaliwa yule angekuwa msinyaa kama tete kwalo!?
Tatizo nyie wanaccm wenzangu huwa mna vichwa vigum Dana kuelewa mambo!!

Sasa majaliwa awe na nguvu ipi kikatiba ya kuenda kinyume na matakwa ya mwenyekiti!!?

Mimi ningekuona was maana kama ungetaka katiba mpya iandikwe na Rais asiwe mwenyekiti was chama anagalau mteule angekua na nguvu ya kutenda!!

Huyo majaliwa unaemsema alikua vile kuendana na jpm,Sasa hayupo inabidi aendane na WA sasa!!

Katiba inayolea hisia za rais ni katiba ya hovyo!

Katiba mpya ingemsimamia raise kama mtumishi na sio kama Bos was katiba!!

Uchama unawafanya msione ukweli was mambo!!

Katiba ndio dili hizo zako no porojo tu na lawama ambazo hazitokia na mashiko!!
 
Back
Top Bottom