Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, CCM waanza kutoa kauli tata

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
754
3,097
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya makada wa CCM wameanza kutoa kauli tata ambazo zinaashiria kuwa vyovyote itakavyokuwa lazima CCM ibaki Madarakani. Kwamba CCM hakijaombwa kushindwa.

Kada mmoja amenukuliwa akiwaponda ACT Wazalendo kuwa haiwezekani wao CCM waandae chakula wao halafu kushiba ashibe ACT Wazalendo.

View attachment 2875370
Kwa hio wewe unaona je?
 
Hivi Kuna wapumbavu watakwenda kupiga Kura kwenye chaguzi za kijinga ndani ya taifa hili.Kama wapi ni dhahiri upumbavu hauwezi kuisha.

"Tanzakiza hakuna uchaguzi bali ujinga wa mtu mweusi kwenye sanduku la Kura"Tindo
 
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya makada wa CCM wameanza kutoa kauli tata ambazo zinaashiria kuwa vyovyote itakavyokuwa lazima CCM ibaki Madarakani. Kwamba CCM hakijaombwa kushindwa.

Kada mmoja amenukuliwa akiwaponda ACT Wazalendo kuwa haiwezekani wao CCM waandae chakula wao halafu kushiba ashibe ACT Wazalendo.

View attachment 2875370
Mapinduzi kafanya Okello nyie mliufyata. Pumbavu kabisa wazee kama huyu
 
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya makada wa CCM wameanza kutoa kauli tata ambazo zinaashiria kuwa vyovyote itakavyokuwa lazima CCM ibaki Madarakani. Kwamba CCM hakijaombwa kushindwa.

Kada mmoja amenukuliwa akiwaponda ACT Wazalendo kuwa haiwezekani wao CCM waandae chakula wao halafu kushiba ashibe ACT Wazalendo.

View attachment 2875370
🏳️‍🌈🌈🏳️‍🌈
 
Kwa kauli kama hizo sio ajabu huyo Mzee akishindwa Uchaguzi kuchukua Panga na kumchinja Jirani yake Mpemba.
 
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya makada wa CCM wameanza kutoa kauli tata ambazo zinaashiria kuwa vyovyote itakavyokuwa lazima CCM ibaki Madarakani. Kwamba CCM hakijaombwa kushindwa.

Kada mmoja amenukuliwa akiwaponda ACT Wazalendo kuwa haiwezekani wao CCM waandae chakula wao halafu kushiba ashibe ACT Wazalendo.

View attachment 2875370
Hii ni dharau kubwa kwa wananchi wote
 
Back
Top Bottom