Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mambo siyo mambo mtu wao hakubaliki na wenye dunia 2025 ndiyo mwisho sasa chadema wanapashwa kufanya mapinduzi kama ya akina raila na uhuru kenyata, 2025 tuna raisi mpya. its just too complicated...
4 Reactions
9 Replies
980 Views
19 January 2024 Bagamoyo, Pwani PAUL MAKONDA AKUTANA NA UGUMU ULIOPITILIZA UNAOSHINDWA KUPATIWA UFUMBUZI NA MFUMO WA UTAWALA WA SERIKALI YA CCM https://m.youtube.com/watch?v=om38fxu03Yc Katibu...
8 Reactions
27 Replies
5K Views
Sukari bei juu! Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero! Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao! Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Akagua muendelezo wa Ujenzi wa Barabara ya Tanga - Pangani - Sadani - Bagamoyo Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda...
1 Reactions
2 Replies
997 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amempatia kijana wa kiume mjasiriamali mwenye ulemavu kiasi cha Tsh Milioni 2 kama...
2 Reactions
1 Replies
659 Views
Wadau, amani iwe kwenu. Upo msemo wa kiswahili kuwa ukienda Msituni kuwinda ukakosa mnyama mkubwa uliyemkusudia, hupaswi kurudi mikono mitupu. Unapaswa kuwinda hata ndege ili mradi tu uonekane...
13 Reactions
86 Replies
11K Views
Rais John Magufuli amemteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara akichukua nafasi ya Joseph Kakunda ambaye uteuzi wake umetenguliwa > Edwin Mhede ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu TRA...
24 Reactions
477 Replies
79K Views
“Wanasema wakurugenzi wasisimamie uchaguzi. Sisi tunasema Mtanzania mwenye sifa Tume itampa nafasi ya kusimamia uchaguzi.” – Paul Makonda, Katibu wa Halmashauri Kuu CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo nimeona nitoa maoni yangu kuhusu hali ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Ingawa upinzani (CHADEMA) kunachechemea lakini bado kuna wanasiasa wa upinzani wana nguvu kisiasa na wanaweza kuwa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Usuli Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa kuhusu Majanga Asilia yaliyotokea tangu mwaka 1990, Tanzania inakabiliwa na hatari ya majanga asilia yafuatayo, frikwensi zake zikiwa zimeonyeshwa...
5 Reactions
30 Replies
9K Views
Nikiwa ninapata utambuzi wa akili Nimebahatika Kushuhudia Uongozi wa mwisho wa Mwalimu Nyerere, Uongozi wa Mwinyi, Uongozi wa Mkapa wote, Uongozi wa kikwete. Katika Uongozi wote huo sikuwahi...
13 Reactions
41 Replies
2K Views
Tuliambiwa maji hakuna kwenye mabwawa tulikubali na mimi nimewahi kuwatetea pahala. Lakini kwa hali inavyokwenda hakuna nafuu. Tunaamini mabwawa kina kimeongezeka hata kama si kujaa kabisa lakini...
1 Reactions
5 Replies
532 Views
Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba. hili ni andiko liko katika kitabu cha mhubiri 28:7...
0 Reactions
4 Replies
590 Views
Kati ya kundi zima la wana CCM mafisadi wa kizazi hiki ni wewe tu angalau umejitanabaisha kuwa MZALENDO WA KWELI, na unaehumizwa kwa wizi na ubadhirifu uliotamalaki katika awamu hii ya sita (IBA...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Yule 'Mwanaharakati' maarufu wa dini ya kiislamu Sheikh Ponda Issa Ponda amekamatwa na polisi usiku huu akiwa katika msikiti wa Temeke Tungi UPDATES: Ni taarifa za kweli na aliwindwa kwa siku...
32 Reactions
570 Replies
59K Views
Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Hili suala la jeshi kuamriwa kufanya usafi kila vyama vya upinzani vinapotangaza maandamano halikubaliki. Wote tunalia hali ngumu ya maisha ikiwemo wanajeshi pamoja na familia zao na viongozi wa...
12 Reactions
71 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekemea na kuonya tabia ya baadhi ya Wana CCM wanaovunja taratibu za Chama kwa kuendekeza makundi baada ya uchaguzi, akisema...
1 Reactions
1 Replies
766 Views
Wakuu, Kama wengi tulivyoshuhudia na mitandao mingi inavyoripoti hali ya mafuriko ni mbaya na athari kubwa ni barabara na madaraja kuharibika vibaya kiasi ya njia nyingi kufungwa kwa tahadhari...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza. Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…