Alipokuja katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wananchi wa Arusha walilalamika kuwa mgawo wa umeme unaoendelea siyo fair. Unakuta kuna eneo linakatwa umeme kila siku kuanzia asubuhi mpaka...
Kwa vile huyu ‘mama’ yetu amekuwa ndo Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania [kama siyo Afrika na hata dunia nzima], mimi naenda mbali zaidi na kutaka awekwe tu kwenye noti.
Mimi napendekeza...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwamba na Jabali wa siasa za ardhini na kijana jasiri kusini mwa jangwa la Sahara Mheshimiwa Paul Makonda. Ambapo katika siku kama ya leo...
Inashangaza mwekezaji Kilombero Sugar kugeuka kuwa mwagizaji,ameshindwa uzalishaji halafu anaagiza halafu ndo aanze kusupply yeye.
Kweli Tanzania tunahitaji wawekezaji wa aina hiyo kama siyo dili...
Nimekuwa nikifuatilia mienendo ya unafiki,uzandiki wa watanzania baadhi yetu,hasa wanasiasa wa pande zote mbili, kwa maana ya wanaccm na wapinzani
Wanaccm baadhi wanapoona kuna mtu ni tishio kwa...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema CCM haikuwatendea Haki kwa kutompa Katibu mkuu mh Mnyika nafasi ya kuongea ilhali alikuwepo msibani akikiwakilisha Chama
Lema...
Kitengo cha utafiti cha shirika la Economist, kimesema kuwa viwango vya demokrasia kote ulimwenguni, vilishuka mwaka uliopita, katikati mwa vita, ukandamizaji wa kimabavu na kupungua kwa uaminifu...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,
Mikoa ya Kusini ni mikoa ambayo inalima sana korosho, hasa mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma hasa wilaya ya Tunduru.
Lakini leo zao la korosho kwao...
Wakati ambapo naona Sera ni kubinafshisha na kuuza mali zote za State/ na kwa mwendo huu huenda hata TANESCO ikawa kwenye Pipeline ni vema tukaangalia waliotangulia walifanya nini na walifanikiwa...
Dkt. Slaa amesema iko kwenye rekodi kwamba pale Mwembe Yanga alisema Lowassa ni fisadi Lakini yeye ni Padre anayetakiwa kuiponya roho ya Lowasa hivyo hana Tatizo lolote na Lowasa
Dkt. Slaa...
Ingependeza Zaidi kama wabunge wote wangemuaga aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Serikali Bungeni hayati Lowasa Kwenye Viwanja vya Bunge kama walivyomtendea Shujaa Magufuli
Kamati ya Maridhiano...
Taifa lipo katika msiba, huu ni msiba wa kitaifa na nyinyi mnataka maandamano, je mpo sahihi?
Sisi kwa kanuni za kiusalama hampo sahihi na hatuungi mkono uvunjifu wa Amani, na pia hatuwezi...
Leo nimefanikiwa kukutana na Page ya NMB PLC kule Facebook,
NMB Sasa wameamua kufungua akaunti kwa TZS 1,000 tena bila makato ya mwezi hii ni dalili ya uchumi wa nchi kukua kwa kasi nakuzifanya...
Nimeona picha Kwenye magazeti na huko X kwamba Mwanza Wananchi wanapanga foleni kununua sukari
Hii ni kweli au ni propaganda za maandamano ya Chadema?
Mfungapo Msiwe kama Wanafiki😃
"Watanzania hawana pesa mfukoni, Watanzania hawana pesa ya kununua, watu hawawezi kuendesha maisha, wachumi watakuwa wananielewa (mimi sio mchumi) nimesoma mahali hali ya mtu kuwa na mahitaji...
Hatimaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme,
Mambo tayari huko 🔥🔥🔥
Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba
=======
Picha: WAZIRI wa Nishati, January Makamba
Serikali...
Aliyekuwa Waziri wa Viwanda, Rita Mlaki amesema family yake na family ya Edward ni Marafiki tangu wao wakiwa Wadogo hivyo wamecheza na kukua pamoja
Rita amesema wameendelea Kuwa pamoja Serikalini...
Edward Lowassa limekuwa jina kubwa sana katika siasa za nchi hii kwa muda akihusishwa na kutafuta kuikalia ofisi namba bila mafanikio mpaka anaondoka duniani.
Lowassa amekuwa mjadala mkubwa...
MBUNGE JUMANNE KIBERA KISHIMBA AMETOA USHAURI KWENYE KONGAMANO LA MITAALA NA SERA YA ELIMU
Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini, Mhe. Jumanne Kibera Kishimba ametoa maoni yake kwenye Kongamano la Sera...
Hadi mwezi Desemba 2023, deni la Serikali lilikuwa shilingi trilioni 87.47 ikilinganishwa na shilingi trilioni 74.75 katika kipindi kama hicho mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 17.0. Kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.