Edward Lowassa limekuwa jina kubwa sana katika siasa za nchi hii kwa muda akihusishwa na kutafuta kuikalia ofisi namba bila mafanikio mpaka anaondoka duniani.
Lowassa amekuwa mjadala mkubwa...
MBUNGE JUMANNE KIBERA KISHIMBA AMETOA USHAURI KWENYE KONGAMANO LA MITAALA NA SERA YA ELIMU
Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini, Mhe. Jumanne Kibera Kishimba ametoa maoni yake kwenye Kongamano la Sera...
Hadi mwezi Desemba 2023, deni la Serikali lilikuwa shilingi trilioni 87.47 ikilinganishwa na shilingi trilioni 74.75 katika kipindi kama hicho mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 17.0. Kati...
Kumeibuka kundi la wanaojinasibisha na kutamba kama Marafiki wa hayati Edward Ngoyai Lowassa wakati huu ambao ameaga dunia wakileta simulizi za kuashiria wakati wa uhai wake alionewa...
Ziara za Makonda zimebainisha kwamba Mahakama sio chombo Cha kupata Haki Kwa maskini ambao hawana pesa sana sana itahalalisha dhuluma kwao.
Kiufupi Makonda anasema Mahakama inauza Haki Kwa wenye...
Wadau kama Mtakumbuka Mara baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Ardhi Jerry Silaa alitangaza kuwa anataka atumiwe orodha ya Petrol stations zote nchi nzima.
MAKAMISHA wasaidizi wa Ardhi Mikoa yote...
Mtu akila utasikia namshukuru rais kwakuwezesha mdomo wangu kufunguka mtu, hata kama atavuka bara bara utasikia.
Anasema namshukuru rais kaniwezesha kuvuka bara bara salama sifa sifa...
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete amewaonya watumishi na waratibu wa mradi wa kuondoa umaskini (TASAF) kuhusu matumizi mabaya ya pesa za mradi na...
Rais Kikwete amesema rais ajae atakuwa bora zaidi na anatamani muda wake uishe haraka akachunge ng'ombe.
RAIS Jakaya Kikwete amesema mfumo unaotumika Tanzania ambako Rais anatumikia nafasi...
Raphael Chegeni amemweleza Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr Malasusa kwamba kama isingekuwa Ajali mbalimbali za kisiasa mzee Lowassa angeendelea Kuishi.
Chegeni amesema Lowassa hakuwahi kuwa...
Tukiwa katika kuomboleza kifo cha Ndugu Edward Lowasa, na kwa kuzingatia mchango wake katika kulijenga taifa vis a vis matarajio ya watanzania na dunia kwa ujumla;
Na kwa kuzingatia michango ya...
Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.
Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu...
Paul Makonda, Mwenezi wa CCM akiwa anazunguka nchi nzima kwa misafara mirefu kuliko kiongozi yeyote na kusikiliza kero na kuwalalamikia CCM wenzake kwa kutofanya kazi. Mwanzo alianza na...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa...
Baada ya maandamano ya Chadema Dar kushindwa kufana kama ilivyotakiwa, sababu kubwa ilisemwa ni taarifa kushindwa kuwafikia wananchi kwa wakati.
Hili tatizo haliwezi kujitokeza tena Mwanza...
Update14 February;baada ya mwezi kuanza kuranguliwa wananchi sukari.. Je mkoa ulipo sukari kilo shs ngapi?!!
Hoja kuu:
Kwenye uchumi wowote hupimwa kwa mfumko wa bei(inflation rate) wa bidhaa...
"Hospitali za Serikali kuacha jukumu lake la msingi na kuanza kufanya kazi za anasa kama kuongeza ukubwa wa makalio badala ya kujishughulisha kikamilifu kutibu maradhi yanayosumbua wananchi, tunao...
Chalamila kuwa makini sana na kujiingiza kwenye mambo marefu kuliko wewe. Kwenye hili la maamndanano kaa pembeni hizi sio zama za Magufuli.
Hizi ni zama za uwekezaji, watalii, majirani kutumia...
Wanaccm wote wamesema kuanzisha Shule za Kata ni Ubunifu wa Lowasa
Basi tumuenzi kwa kuziita Shule za Lowasa
Kwa mfano
Shule ya Lowasa Mtakuja Kunduchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.